Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

Babuu Murasa

Babuu Murasa

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2013
Messages
229
Points
250
Babuu Murasa

Babuu Murasa

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2013
229 250
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Dah so sad mkuu! Hayo maneno yako yamekosa ubinadamu
 
S

senzighe

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
1,270
Points
2,000
S

senzighe

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
1,270 2,000
Asiyefunzwa na mama yake basi huyo atafunzwa na ulimwengu.Rais wetu tulimchagua wenyewe kwa kumkubali yeye na kwa sera za chama chake.Mambo ya PhD hayakuwepo kwenye maaganao yetu ya kumpa uongozi wa nchi.Mambo ya darasani yaache hukohuko.Mbona hakuhoji shahada yake ya kwanza na ya pili?Tunakubali nchi hii kweli kuna watu wanajua sana.Lakini hata ujue sana na kusoma sana huwezi kumtukana baba yako mzazi kuwa hakuwa na sifa za kumuoa mama yako mzazi ambaye ni msomi.
Tunasikitika sana kupotea mtu kwa kitambo chote hiki na tunamuomba Mungu arudi salama huko alikojificha. Lakini kama kweli ni yeye aliyeandika hilo bandiko lako hapo juu la kukashifu kiongozi wa nchi yetu basi Mwenyezi Mungu amrehaemu.
 
Marco Polo

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
2,885
Points
2,000
Marco Polo

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
2,885 2,000
Only God knows where's our comrade&brother Ben Saanane!!.
But not only that, God knows even those who abducted Ben. Mungu siku zote hamfichi Mnafiki na iko siku inayojulikana na Mungu huu UNYAMA,UDIKTETA, UBEPARI na U-KOLONI Mamboleo wa CCM utakomeshwa...!!!
Siku akijitokeza na kuibukia CCM ? Ndio maana nishaachaga kushabikia siasa za Tz.
 
INGENJA

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Messages
5,001
Points
2,000
INGENJA

INGENJA

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2012
5,001 2,000
Ile dhana ya mtenda akitendewa kawafukuza wenzie kwa fedheha yeye kuanikwa kachukia
 
Bepari

Bepari

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
888
Points
500
Bepari

Bepari

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2011
888 500
Hajapotea kauliwa na wengi wanasema makonda ndio alimuita mara ya mwisho na atakuwa alipewa go ahead ya baba yake
Yaani Makonda umueite halafu asiposti? Siyo 2 o'clock huyo...
 
M

Magangad

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
780
Points
500
M

Magangad

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
780 500
Sasa ukiona hivyo, fanya yako, iwapo nduguze wamenyamaa sasa sisi linatuhusuje mpaka tuanze kulumbana?
 
impelle

impelle

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Messages
719
Points
1,000
impelle

impelle

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2017
719 1,000
Mwacheni ben apumzike huko aliko. Ni matokeo ya maisha aliyoyachagua
 
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Messages
12,224
Points
2,000
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined May 28, 2009
12,224 2,000
Veri intelligent boy kuliko huyoo mwenye phd fake....watu wa maana wanpotezwa lkn watu wa hovyo waharibu nchi ndo wanabaki kweli africa ndiko ziliko asshole countries
 
Babu sea

Babu sea

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
558
Points
250
Babu sea

Babu sea

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
558 250
Hivi watanzania wa kizazi hiki wapo hai kwei au ndio walishafariki? Mi sioni kama Ben kafariki ila naona kama Ben ni mzalendo atakaye kumbukwa daimakwa ujasiri wake wakuweza kupaza sauti yake na kutoa maoni bila kuangalia sura wala cheo kuliko hata watesi wake kama we una paza sauti yako kutetea ukandamizaji,unyonyaji,na injustice wewe sio mtanzania kwa sababu Tanzania sio mali ya mtu mmoja kila mtu ana uhuru wa kuongea
 
T

Timiza

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2017
Messages
4,977
Points
2,000
T

Timiza

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2017
4,977 2,000
Hii ishu ni MJUKUU wahusika wanayo hadi watakapomaliza mda wao duniani aipoi kesho wala kesho kutwa. Kuna kitu kinaitwa dunia na walimwengu mambo ya universe wasiojulikana watajulikana tu,wenyewe akili utumia uchawi wa kizungu ni kuwavuta mezani then wanaacha piga kelele zinapoa.
 
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,230
Points
2,000
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,230 2,000
Kazi mno.Tumekukumbuka Ben Sa8
 

Forum statistics

Threads 1,307,076
Members 502,332
Posts 31,600,955
Top