Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Ktk kondoo wengi wanaochungwa na mchungaji ikisadikika kuwa mmoja tu hayupo mchungaji huwaacha wote akaenda kumtafuta huyu mmoja. Wakristo tumeaminishwa kuwa kondoo mmoja ana thamani kuliko wengi uliosalia nao.
Lazima tumjadili Ben saanane.
 
Uko wapi brother ben saa nane?

Only God knows where's our comrade&brother Ben Saanane!!.
But not only that, God knows even those who abducted Ben. Mungu siku zote hamfichi Mnafiki na iko siku inayojulikana na Mungu huu UNYAMA,UDIKTETA, UBEPARI na U-KOLONI Mamboleo wa CCM utakomeshwa...!!!
 
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.

Ni hkupoteza energy kwa sababu hakuhusu. Kwa hiyo kwa kuwa tuko milioni 50 then hata walioua vi mtu vimoja vimoja tuachane na kesi kwa kuwa tuko Mil 50. Una akili ya ajabu sana bora ungekaa kimya.
 
  • Thanks
Reactions: 911
Wewe
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Wewe unaongea au unaharisha? Easy tu kwasabababu siyo ndugu yako angekuwa babako,kakako,mamako au dadako ungeongea hayo? Siyo lazima wote tuimbe huna cha kuimba nyamaza..
 
Back
Top Bottom