Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Awe mafichoni ili kumfurahisha shangazi yako?
 
Mwambieni aache kuwa nocturnal Mungu aliumba mchana na usiku makusudi ili tufanye shughuli mchana na tupumzike usiku....mambo ya kujificha mapangoni kama popo na kutoka giza likiingia sio mpango huo.
Duh kwahiyo bado amejificha?
 
Maandishi ya Ben Saanane

Mwisho wa kumnukuu

Je, huenda post hii ndio ilikuwa sababu ya kutoonekana kwake hadi leo?

Acheni Mungu aitwe Mungu..

BEN TUNAKUOIMBEA KWA MUNGU HUKO ULIPO.

Siku yangu ikifika, nitawaomba Malaika wanionyeshe wapi walipo hakina John Magufuli, Idd Amin, Adolf Hitler, na hawa kama watakuwa wametangulia niweze kujua wapi walipo hakina Ali Khamenei, Vladimir Putin, Bashar al-Assad,.
 
View attachment 3185404

Usimsahau benjamin netanyahu na wahuni wenzake
 
Back
Top Bottom