Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

Priority ya chadema kwa sasa ni accacia wamemsahau kabisa mfanyakazi wao.
 
jamaa alitoa hoja nzito za kitundu lissu....apo lazima upotezwe maana hakuna wakujibu hoja hizo...hoja nzito nzito za kitundu lissu hizo
 
Ndani ya nchi kuna mamba na chatu wakali sana na hawapendi kelele za mtu yeyote. Huenda kijana wetu aliwachokoza mamba wenye njaa kali na mamba wakamfanya kitoweo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nchi za wenzetu waliostaarabika, China,Marekani,Uingereza, Israel, Japan n.k. akipotea raia mmoja tu wako tayari kuingia gharama yoyote hata kama ni kwenda vitani ili kutetea uhai/utu wa raia huyo bila kujali ni wa chama Twawala au Pinzani!!!
The Bible says that One Soul is equivalency to 10,000 worlds.
Then unaweza ukaona jinsi nafsi moja ya bin-adamu ilivyo na thamani!!! Halafu jitu moja kutoka CCM linapuuza na kukebei kupotea kwa Ben Saanane! Huo ni wendawazimu...........!
..Mbona ukipitea wewe hutafutwi?..
 
Mpuuzi wa mwisho kabisa wewe, wewe ni nani? Umewahi kumuumba hata binadamu mmoja? Unajua value ya ubinadamu wewe? Angalia yupo Mungu aliyetuumba sote, asije akakupindua kichwa chini miguu juu kama anavyompindua Makonda leo, kila unalolifanya liwe baya liwe zuri malipo ni hapa hapa, what goes around comes around ndugu.
..Ben Mwenyewe kalipwa,..si alitaka Mwenyewe kujitwisha mzinga wa Nyuki?..
 
Sasa unataka kutuambia kuna connection gani kati ya alicho kiandika na kupotea kwake?
 
Back
Top Bottom