Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

Ben upo wapi jamani, ingawa tulipingana sana kihoja humu ndani, but nakumiss sana.Hope you still alive, wherever you are, please come out.
 
hili issue mbowe atakuwa anajua vizuri na sina uhakika kama aliwahi kuriport polisi mara tu alivyotoweka! wao wana majibu sio mwanasiasa kivilee wa kufuatiliwa kiasi kile kwa kosa dogo kama hilo eti kahoji phd ya boss.
ninachojua wanajua alipo wakiamua katika muda mfupi wanaweza kumleta!
acheni kutuzingua chadema fanyeni kazi tuliyowatuma na si kutuletea tamthilia za malalamiko!
watumikieni wananchi kwa nafasi waliyowaamini na si vinginevyo ili kiendelee kuwa chama kinachoheshimika
 
Hii issue mbona inaenda ikipoa kama vile hakuna kilichotokea???????
Chadema wenyewe hawakuipa uzito tangu mwanzo. Yaani ilikuwa kama vile kapotea mbwa
2fb3d338f82d33f66db0505c5810bc7b.jpg
 
Maandishi ya Ben Saanane



Mwisho wa kumnukuu

Je, huenda post hii ndio ilikuwa sababu ya kutoonekana kwake hadi leo?
Maandishi ya Ben Saanane



Mwisho wa kumnukuu

Je, huenda post hii ndio ilikuwa sababu ya kutoonekana kwake hadi leo?
Hiki ndicho kilimponza, jamaa alijua akichimbua ukweli utajulikana na atkuwa katika list ya mafisadi wa elimu. Ila wote walioshiriki mauaji yake watapata malipo yao hapa hapa tungoje mda utasema
 
Mhuuuuh!,kuna kitu kikubwa sana kitaliaibisha taifa hili mbeleni.
Umenifunua macho, aliyewasha moto kapotea, aliyejaribu kutaka kuuzima kwa sababu ni mhusika wa kufunika kombe sasa ameteuliwa cheo kikubwa na pilato mkuu.
Halafu huyu ndiye kateuliwa baada ya Saambili kupotea na huyu huyu ndiye aliwahi mwambia pilato asiteue viranja kutoka darasa la saba kwa kuwa wanakabiliwa na maandalizi ya mitihani .
Hatareeeeeeeee!!!!!!!!!!.Unanafiki unatutawala sana.
 
Kwanza nichukue wasaa huu kumpongeza rais Magufuli kuonyesha kuwa ana hofu ya Mungu. Tumeona mazuri mengine.

Kwa Mara ya kwanza tumeona rais anayeguswa na umasikini wa watanzania kwa vitendo. Mungu akuongoze ulipo.

Serikali hii imeendelea kuwa na majibu ya maswali waliokuwa wanajiuliza wananchi kwa muda mrefu.

Mh. Magufuli ukiwa kama Mkuu wa muhimili wa Serikali, tena ukifahamu kuwa muhimili wako umejichimbia kuliko yote. Nami naamini hivyo na ndiyo uhalisia.

Naomba rais utoke hadharani au vyombo vyako vitoke hadharani vieleze alipo Ben. Bila shaka vinajua. Mkono wa Serikali ni mkubwa sana.

CHADEMA haiumii sana kama anavyoumia mzazi wa Ben Saanane. Na kama alikosa namuombea msamaha kwa Serikali yako tukufu. Na kama chama chake kilihusika tunaomba kujua. Kwa kweli inauma sana. Ni bora ifahamike kama ameshakufa.

Wazazi wanaumia zaidi. Ifke wakati turejee kwenye slogan ya mama Salma Kikwete kuwa mtoto wa mwenzio in wako.

Where is Ben?
 
Back
Top Bottom