Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

Ila hilo Andiko lake, ninalisoma na kulisoma linafikirisha sana, ebu jaribuni kulisoma huenda tukajifunza kitu, achaneni na maneno ya kebehi wandugu, ngoja nilisome tena maana halichoshi kabisa dah! Jamaa anapangilia hoja vizuri sana.
 
mgeenda kuuliza anakosoma PHD kuhusu maendeleo yake. unaeza kuta shule inaendelea huko sie tunakomaa huku kapotea.

binafsi naona ni kama mtihan uliofeli wa kumgombanisha mkuu na raia.
 
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Yeuwi mbona inatosha!
 
Kama unayoyasema ni ya kweli.... Endelea kufukua hii kitu uone mziki wake. Learn from experience mkuu.
 
Hizi hoja zilikuwa ngumu mno kwa MAPROF wetu, utawala wa UDSM na MAGUMASHI mwenyewe kuzijibu tanz Tanzania ni zaidi ya uijuavyo..!
 
Kwa hiyo na wewe una maana gani kuendelea kusambaza hii post ambayo haina la maana??? Malengo yako ni nini? Wewe sio mtu mzuri kwa Taifa la Tanzania. Haaayaaaaa..............
Je unahisi haina la maana? Au kwa kuwa hakuwa akikuhusu kwa lolote lile, utajua kuwa kupotea kwake kuna maana iwapo angepotea MTU wa muhimu kwenye familia yako, anaweza kwako lisiwe la maana lakini kwa watu wengine lina maana kubwa sana.
 
Mwisho wa kumnukuu

Je, huenda post hii ndio ilikuwa sababu ya kutoonekana kwake hadi leo?
Chadema wanajua walikomhamishia bana. Wewe unawaona wanapoteza Mb zao kumuongelea tena? Vijana wengi wa cdm wanaoshinda mitandaoni kipindi Fulani kabla ya uchaguzi 2015 walipewaga simu za tecno na huelekezwa wapi waelekeze mashambulizi ili kumlinda Kamanda wao. Ishu ya Ben watu hum ndani waliwekaga mtiririko mzima walivyojua na tuhuma zilidondokea kwa kamanda wao Mkuu, from there hawa vijana wa tecno wakaacha kabisa hata Ku hashtag, it seem vijana wa tecno walielekezwa maelekezo mengine. Ukiangalia nguvu wanayotumia kwa Mh makonda kumsakama ni kubwa sana kuliko waliyotumia kwa Ben.

VIJANA wa TECNO
 
Hebu acheni kutumalizia MB zetu kizembezembe
Wewe ni Nani.....
Na kwa nini unauliza humu JF
Jalada lake limefunguliwa Police, hivi umewauliza wamefikia wapi......!!!????
Kwa nini hukumtafuta Baba yake ambaye aliisha Ripoti Police, au umesahau kwamba Baba yake alimsihi Mbowe aseme aliko mwanae. Wewe kimekushinda kipi kwenda kuulizia Mrejesho wa Baba na Familia kwa ujumla?...( Maana Baba MTU huenda aliisha nong'onezwa akatulia tuliiiii...ajabu Wewe na ushakunaku wako unakuja kujaza server ya JF bure)
Anyway, kama huifahamu familia Ina maana hata Mbowe huwezi kumpata maana yeye anasema tukae kimya ili watesi wake wasije kuamua kumdhuru, sasa kamuulize amefikia wapi..!? au bado anakula fungate na Wema Sepetu!??
Ukiona tabu huko kamuulize yule Binti Mwenzi wake alietuambia mwanzoni kwamba Mr. yuko kwenye mission maalum wapi sijui but atarudi, yaani yule atasema kama ile mission imekamilka au imeongezewa Muda au wako ndani ndani wanatii kiu kwa raha zao au VP?
Wote hao hawasumbuki na Ben, mpaka yule Binti...ajabu wewe na kiherehere chako ndio unajiulizisha au wewe ni...
Aaaah maana jina lako nalo linaacha maswala ,Mombasa kunasifa yake yakhe...!
Duh! Hii habari ya Mbowe kula mzigo ni kweli? Haya baba ni matunda yetu hayo tuyatumie tu.
 
Kwahiyo mnaendelea kumjadili Ben ili yaliyompata yasiwapate?
Mpuuzi wa mwisho kabisa wewe, wewe ni nani? Umewahi kumuumba hata binadamu mmoja? Unajua value ya ubinadamu wewe? Angalia yupo Mungu aliyetuumba sote, asije akakupindua kichwa chini miguu juu kama anavyompindua Makonda leo, kila unalolifanya liwe baya liwe zuri malipo ni hapa hapa, what goes around comes around ndugu.
 
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Jamani we are talking about someone's life. A human being Siyo mbwa paka au panya. A human being. God's creation kwa mfano wake. Tuwe waangalifu sana maana we are touching God Himself. Haya shauri zenu
 
Si bora hata alivyopotea, maana hata akigongwa na nyoka chama hakiwezi kumtibu, bora wamlipe Wema Sepetu aje na wafuasi kuliko kamanda akiepata ajari au ugonjwa, hiyo ndiyo chadema kwa msiyoijua
Huwezi kuona thamani ya mtu kupotea? ngoja siku uje kupata ajali sikuombei, upoteze tu mguu wako, then utaona uchungu wake, kupoteza tu mguu, halafu utalinganisha huo mguu wako na yule MTU mzima aliyepotea kipi kina faida kubwa sana?

Wako wapi waliomtabiria kifo Lowassa? Na yuko wapi Lowassa leo? hakika tuzichunge ndimi zetu kabla hatujaongea jambo, kwani yupo Mungu ambaye hajaribiwi kwa namna yoyote ile.
 
Si bora hata alivyopotea, maana hata akigongwa na nyoka chama hakiwezi kumtibu, bora wamlipe Wema Sepetu aje na wafuasi kuliko kamanda akiepata ajari au ugonjwa, hiyo ndiyo chadema kwa msiyoijua
Nonsense
 
Back
Top Bottom