Bepari
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 904
- 330
Jina lako tu!!Vijana wa tecno mna matatizo![]()
Jina lako tu!!Vijana wa tecno mna matatizo![]()
Wewe pamoja na Huyo Mungu unayemwamini mnahitaji ushauri wa kisaikolojia.Mpuuzi wa mwisho kabisa wewe, wewe ni nani? Umewahi kumuumba hata binadamu mmoja? Unajua value ya ubinadamu wewe? Angalia yupo Mungu aliyetuumba sote, asije akakupindua kichwa chini miguu juu kama anavyompindua Makonda leo, kila unalolifanya liwe baya liwe zuri malipo ni hapa hapa, what goes around comes around ndugu.
Tunaweza kuongea hata kwa karne nzima na Ben asionekane tena.........Tukubaliane na hali iliyopo.Jamani we are talking about someone's life. A human being Siyo mbwa paka au panya. A human being. God's creation kwa mfano wake. Tuwe waangalifu sana maana we are touching God Himself. Haya shauri zenu
Acha urongo mkuu huko marekani watu wanapotea kila siku na wengine kufariki kila uchao mbona hatuoni ayo maandamano? Ata ivo naamini ben yupo safe na anaendelea na shughuli zake za kila siku amechoka na usanii wa Chadema ameamua kusepa ki aina amemfuata Dr. Canada.Kuna nchi za wenzetu waliostaarabika, China,Marekani,Uingereza, Israel, Japan n.k. akipotea raia mmoja tu wako tayari kuingia gharama yoyote hata kama ni kwenda vitani ili kutetea uhai/utu wa raia huyo bila kujali ni wa chama Twawala au Pinzani!!!
The Bible says that One Soul is equivalency to 10,000 worlds.
Then unaweza ukaona jinsi nafsi moja ya bin-adamu ilivyo na thamani!!! Halafu jitu moja kutoka CCM linapuuza na kukebei kupotea kwa Ben Saanane! Huo ni wendawazimu...........!
Watu hawamuoni muda mrefu umepita halafu unatoa kauli za kejeli, angalia ndugu yangu yasije yakakurudia ukajutia mdomo wako, waswahili wanasema mdomo unaponza.Wewe pamoja na Huyo Mungu unayemwamini mnahitaji ushauri wa kisaikolojia.
Unaposema what goes around comes around ina maana Ben alikuwa ni mtakatifu? Vipi kama yaliyomtokea ndio comes around take?.....unauhakika gani alipatwa na baya?
Kama mngekuwa na nia ya dhati ta kumtafuta Ben au kushurutisha mamlaka husika zimtafute Ben, basi mngeitisha maandamano na migomo ya kutosha hadi Ben apatikane na sii kubwabwaja maneno nyuma ya keyboard.Watu hawamuoni muda mrefu umepita halafu unatoa kauli za kejeli, angalia ndugu yangu yasije yakakurudia ukajutia mdomo wako, waswahili wanasema mdomo unaponza.
Hakuna anayebwabwaja hapaKama mngekuwa na nia ya dhati ta kumtafuta Ben au kushurutisha mamlaka husika zimtafute Ben, basi mngeitisha maandamano na migomo ya kutosha hadi Ben apatikane na sii kubwabwaja maneno nyuma ya keyboard.
Ubinadamu kwa Ufipa pekee!!?Co ubinadamu huo bro angekuwa ni Ndugu yko ndo
Ungejua kuna asara gani
huna adabuHebu acheni kutumalizia MB zetu kizembezembe
Wewe ni Nani.....
Na kwa nini unauliza humu JF
Jalada lake limefunguliwa Police, hivi umewauliza wamefikia wapi......!!!????
Kwa nini hukumtafuta Baba yake ambaye aliisha Ripoti Police, au umesahau kwamba Baba yake alimsihi Mbowe aseme aliko mwanae. Wewe kimekushinda kipi kwenda kuulizia Mrejesho wa Baba na Familia kwa ujumla?...( Maana Baba MTU huenda aliisha nong'onezwa akatulia tuliiiii...ajabu Wewe na ushakunaku wako unakuja kujaza server ya JF bure)
Anyway, kama huifahamu familia Ina maana hata Mbowe huwezi kumpata maana yeye anasema tukae kimya ili watesi wake wasije kuamua kumdhuru, sasa kamuulize amefikia wapi..!? au bado anakula fungate na Wema Sepetu!??
Ukiona tabu huko kamuulize yule Binti Mwenzi wake alietuambia mwanzoni kwamba Mr. yuko kwenye mission maalum wapi sijui but atarudi, yaani yule atasema kama ile mission imekamilka au imeongezewa Muda au wako ndani ndani wanatii kiu kwa raha zao au VP?
Wote hao hawasumbuki na Ben, mpaka yule Binti...ajabu wewe na kiherehere chako ndio unajiulizisha au wewe ni...
Aaaah maana jina lako nalo linaacha maswala ,Mombasa kunasifa yake yakhe...!
hivi umekula maharage ya wapi? mimi nimesema kupotea kwake sio kwa maana???? usichanganye mada, mimi nilizungumzia huyo aliyeleta hilo andiko at this moment ana nia gani???? kwa maswali zaidi wasiliana na polisi ili uwape taarifa ulizonazo kuhusu jambo hilo. bye.Je unahisi haina la maana? Au kwa kuwa hakuwa akikuhusu kwa lolote lile, utajua kuwa kupotea kwake kuna maana iwapo angepotea MTU wa muhimu kwenye familia yako, anaweza kwako lisiwe la maana lakini kwa watu wengine lina maana kubwa sana.
The teh teh teh.huna adabu
Maandishi ya Ben Saanane
Mwisho wa kumnukuu
Je, huenda post hii ndio ilikuwa sababu ya kutoonekana kwake hadi leo?
wewe si wa kwanzaNgoja niwe kwa kwanza kuchangia