Maandamano yanayoendelea Ufaransa; ni nini hatima ya Macron?

Labda ungetuelezea na sababu ya kuzidisha umri wa kustafu mkuu
Maana wengine wageni humu
Sababu ya kuongeza umri wa kustaafu ni kuwa serikali itashindwa kulipa wastaafu,so miaka miwili itasaidia kusave pesa na itasaidia kuongeza dau la wastaafu wanalolipwa kila mwaka.Inshort wastaafu wamekuwa wengi kuliko vijana wanaofanya kazi.Maana wastaafu wanalipwa na walioko kazini.
 
Huyu MK254 wala asikuumize kichwa hili ni kubwa jinga lina ushabiki wa kidini hata pasipohusika na dini
Na nyie ndio mnatafuta kutukanwa, mtampa mtu changamoto pale mtakapoacha kumtukana na kumjibu kwa hoja, kinyume chake ndio mtu anamkashifu hata mtume wenu wakati ahusiki kabisa kwenye mada. Ebu kuweni watu wazima basi.
 
Hana hoja yoyote zaidi ya matusi,, yani we ukimjibu hoja zake anakimbilia kwenye dini,, na mara nyingine ni wakristo wenzake lkn yeye kitendo tu cha kumjibu basi wewe ustadh,,,
 
Sababu ya kuongeza umri wa kustaafu ni kuwa serikali itashindwa kulipa wastaafu,so miaka miwili itasaidia kusave pesa na itasaidia kuongeza dau la wastaafu wanalolipwa kila mwaka.Inshort wastaafu wamekuwa wengi kuliko vijana wanaofanya kazi.Maana wastaafu wanalipwa na walioko kazini.
Je hela anazo tuma Ukraine vipi kama angewapa wastaafu au wa Ukraine ni bora kuliko raia walio mueweka madarakani,
Viongozi wengine wa west akili zao kama za wa africa tu unaenda kukopa hela na kutia deni nchi alafu unaenda kutoa msaada kwa nchi iliyoendelea kama Turkey ili vyobo vya habari vya kimataifa vikuandike huku wananchi umewapa mzigo wa madeni ya miaka na mokodi ya sio na mbele wala nyuma.
 
Kwenye vikao vyao si lengo la vikwazo kwa Urusi ni kuwa wananchi wawe na ugumu wa maisha mwisho waandamane na kuutoa utawala wa Urusi imekuwaje nchi ambazo hazina vikwazo ndo wanaandamana na kutaka serikali zao zitoke?
 
Walio ajiriwa wanaandaman
Wasio na ajira wanaandaman

Hapo kaz
 
Kuna yule mkenya kipindi cha maandamano ya Iran kwa siku alikuwa anaanzisha hata nyuzi 5.
Huku hutamwona, hawezi wasema vibaya mabasha wake. Ila ngoja nimchokoze kwa kumwita. [emoji2788] weeee MK254 njoo huku, au bado unaandama hapo Nairobi? Tunataka threads za kinachojili Israel na Ufaransa, bila kusahau hapo kwenu KNY, achana na Iran na Ukraine; habari ya mjini sasa ni France, Israel na Harambee State
 
kuna taratibu za kufanya maandamano , kuharibu mali za umma ni uharifu sio maandamano , kipigo ni lzm kwa nchi yoyote ile
Walipofanya hivi Iran west povu liliwatoka, mbona Sasa hatulioni hilo povu? Vipi amnesity international wanajua kinachojili Ufaransa?
 
Je hela anazo tuma Ukraine vipi kama angewapa wastaafu au wa Ukraine ni bora kuliko raia walio mueweka madarakani,
Viongozi wengine wa west akili zao kama za wa africa tu unaenda kukopa hela na kutia deni nchi alafu unaenda kutoa msaada kwa nchi iliyoendelea kama Turkey ili vyobo vya habari vya kimataifa vikuandike huku wananchi umewapa mzigo wa madeni ya miaka na mokodi ya sio na mbele wala nyuma.
Ni kweli na ndo maana wananchi wapo Barabarani,za kuwapa Ukraine zipo.Ila za wa
staafu ndo hazipo. Halafu kuweka reform hii katika wakati ambao maisha yamekuwa magumu .Sasa hivi watu wanamchukia Zelenzsky. Hata mimi ninamchukia kweli kweli.
 
Huku hutamwona, hawezi wasema vibaya mabasha wake. Ila ngoja nimchokoze kwa kumwita. [emoji2788] weeee MK254 njoo huku, au bado unaandama hapo Nairobi? Tunataka threads za kinachojili Israel na Ufaransa, bila kusahau hapo kwenu KNY, achana na Iran na Ukraine; habari ya mjini sasa ni France, Israel na Harambee State

Hehehe Wale sio waislamu, wanaandamana kistaarabu sio kama nyie majitu mnauana kwenye maandamano
 
Kwenye vikao vyao si lengo la vikwazo kwa Urusi ni kuwa wananchi wawe na ugumu wa maisha mwisho waandamane na kuutoa utawala wa Urusi imekuwaje nchi ambazo hazina vikwazo ndo wanaandamana na kutaka serikali zao zitoke?
Hata huko Russia wanaandamana sasa tatizo kwa kuwa ni nchi ya kiimla waandamanaji wamewahi kukamatwa na kupelekwa vitani Ukraine hivyo wanaogopa sasa kuandamana hivyo ijue hiyo Russia unayoisifia ilivyo nchi ya hovyo.
 
Back
Top Bottom