Maandamano yanayoendelea Ufaransa; ni nini hatima ya Macron?

Maandamano yanayoendelea Ufaransa; ni nini hatima ya Macron?

Dunia inazidi kushuhudia mabadiliko taratibu huku macho ya wengi yakielekezwa Ufaransa ambapo waandamanaji wakizidi kuongezeka kwa kasi.

Baada ya Macron kupandisha umri wa kustafu kutoka 62-64 imezua maandamano lakini inasemekana na kupanda kwa gharama za maisha kumepelekea watu wazidi kuandamana.

Tunashuhudia jinsi polisi walivyo makatiri wakiua na kuwatesa raia ambao wanadai haki zao huku media zao zikiwa kimya kama hawaoni kinachoendelea. Hii ndo demokrasia wanayotuhubiria?

Maandamano ya Iran west walikua bega kwa bega na waandamanaji lakini sababu imetokea kwenye bustani yao wapo kimya hata haki za binadamu wamesahau.

Miji ya Ufaransa karibu yote maandamano yameshika kasi sana kuna mapigano baina ya raia na polisi huku wengine wakimtaka Macron kujiuzulu.

Acha tuone hatima ya Macron maana kila siku hali inazidi kuwa mbaya. Mlitamani sana haya mambo yatokee Russia ila kibao kimegeuka.

View attachment 2566211
View attachment 2566212
View attachment 2566213
View attachment 2566215
View attachment 2566216
View attachment 2566217
View attachment 2566218
View attachment 2566219
View attachment 2566220
kuna taratibu za kufanya maandamano , kuharibu mali za umma ni uharifu sio maandamano , kipigo ni lzm kwa nchi yoyote ile
 
Watanzania kihaki ndio walipaswa waandamane kwanza kabla hata ya hao Ufaransa lakini kwa umbumbumbu walionao wanashangilia maandamano ya Ufaransa.

Leo hii zaidi ya asilimia 65 ya watanzania wanaoishi chini ya dola moja kwa siku na hawana hata huduma bora za afya na matokeo yake ndio maana waganga wa kienyeji bado ni muhimu sana katika jamii ya kitanzania.

Bei za bidhaa ziko nje ya uwezo wa watanzania walio wengi lakini hawawezi kuandamana kupinga hilo ila wako tayari kujipanga na kukimbizana na mwenge ambayo hata mantiki yake hawajui halafu mwisho wa siku wanalaumu mataifa ya nje kwa shida zao. Watanzania bure kabisa.
nchi ya vichaa hii
 
Kweli kabisa yaani Huwa najiuliza sisi sijui tumerogwa yaani tupo tupo tu, imagine kupandisha umri wa kustaafu tu kimewaka wakat huku kwetu wafanyakazi ndio wangefurahia maana unakuta jitu limepita umri wa kustaafu lakini bado Yuko utumishi wa umma.
 
Hakuna watu wanafiki kama wazungu na wachonganishi kama wao

Ni kweli zikiwa nchi wanazozichukia zisiendelee watafuatia kila hatua ila wao hapana

Kuna vijana France wameandika kwenye mitandao Kifo kwa mfalme wa Uingereza Death to the King

Hiyo imepelekea ziara ya Charles wasitishe kwa mda maana hata wao wanachukiana sana

Wacha wapambane tu maana kila kitu kimepanda bei
Vita vya kwanza vilianza kwa kuvamia nchi zingine kwa njaa
Wanatutegemea sana ila hatujijui tu

wapi wamesema maandano ya kupinga vitu kupanda bei? Leta source
 
Vipi 'mungu' wenu mwarabu aliwaagiza msitukane mkiwa kwenye hiyo njaa au mida ya kufuturu umefika, huwa nawashangaa mtu umekazana kushinda njaa ila unatukana balaa...hehehe majuha kweli...huyo mwarabu aliwaingiza mkenge...mnamuabudu licha ya yeye kugegeda katoto ka miaka 9.
Huyu sio mkenya jamani
Huu mwandiko wa kajitu kamoja kamechoka pale Tandale uzuri, kazi yake kubwia bwimbwi tu.

Hakuna mkenya mwenye huo muandiko
 
Nonesense ,maandamano mengi yanaendelea kufanyika Afrika hii hii ,huko Senegal,Kenya,South Africa ,Tunisia ,Nigeria NK , wtf are you guys talking about ?
Concerns za inflation , kupungua thamani ya pesa , kipato duni , uhaba wa ajira ,uongozi mbovu , umasikini na maisha mabovu
Na serikali nyingi corrupt zitaanguka ,huo ni mwanzo tu .
Hali ya kiuchumi duniani ni mbaya na tunapoelekea ni hatari ,watz misukule maisha magumu na kila kitu kibovu na bado hata kuonyesha concerns Hamna , mfano Tanzania hapa nchi na serikali inapumulia handsout na mikopo toka Imf na nchi za magharibi , ni bora hata hao wanaoandamana ,wanaonyesha jinsi walivyo na uchungu kwa nchi zao

Dunia inazidi kushuhudia mabadiliutoka 62-64 imezua maandamano lakini inasemekana na kupanda kwa gharama za maisha kumepele
Tunashuhudia jinsi polisi walivyo makatiri wakiua na kuwatesa raia ambao wanadai haki zao huku media zao zikiwa kimya kama hawaoni kinachoendelea. Hii ndo demokrasia wanayotuhubiria?

Maandamano ya Iran west walikua bega kwa bega na waandamanaji lakini sababu imetokea kwenye bustani yao wapo kimya hata haki za binadamu wamesahau.

Miji ya Ufaransa karibu yote maandamano yameshika kasi sana kuna mapigano baina ya raia na polisi huku wengine wakimtaka Macron kujiuzulu.

Acha tuone hatima ya Macron maana kila siku hali inazidi kuwa mbaya. Mlitamani sana haya mambo yatokeesia ila kibao
leta source inayosema wanapinga kupanda gharama za maisha.

demokrasia wanayoihubiri ndiyo hiyo hakika,watu wanaweza kukusanyika kupinga mipango ya serikali ambayo hawakubali. Pia Western mass media wanaripoti sana habari hizo.
 
Si bora hata France hao watu wanaprotest ? Pamoja na uharibifu wanaojifanya hao waandamanaji ni mkubwa ila nguvu inayotumika na dola ni ndogo ukilinganisha na umati na violence ya hao waandamanaji , ingekuwa nchi za kinafiki hizi za kiafrica au nyinginezo za madikteta miungu watu si kungekuwa na genocide hapo ? ,Watu wangemibywa mbupu ,kutekwa ,kupigwa risasi live na unyama mwingine ?
 
Pia ongezeko la muda wa kustaafu/ pension system reform iliyofanywa na serikali ya Macron , watu wamechoka wanataka kustaafu wanaambiwa wafanye kazi mpaka miaka 67 ndio wastaafu ,so ni hasira zikawapanda ndio hivyo wanakiwasha
 
Back
Top Bottom