Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
- Thread starter
- #21
Mbona vyombo vikubwa vya habari kama BBC, CNN na ALJAZEELA hakuna
Kidogo sana wanareport baada ya kuona twitter post zimekua nyingi.
Mbona vyombo vikubwa vya habari kama BBC, CNN na ALJAZEELA hakuna
Hakuna watu wanafiki kama wazungu na wachonganishi kama wao
Ni kweli zikiwa nchi wanazozichukia zisiendelee watafuatia kila hatua ila wao hapana
Kuna vijana France wameandika kwenye mitandao Kifo kwa mfalme wa Uingereza Death to the King
Hiyo imepelekea ziara ya Charles wasitishe kwa mda maana hata wao wanachukiana sana
Wacha wapambane tu maana kila kitu kimepanda bei
Vita vya kwanza vilianza kwa kuvamia nchi zingine kwa njaa
Wanatutegemea sana ila hatujijui tu
Iran tunalaani vikali uvunjifu wa haki za binaaaadam[emoji23][emoji23][emoji23]adui yako. Muombee njaa.... Wazee wana hekima sanaView attachment 2566439
Unamzungumzia huyu kubwa jinga MK254Kuna yule mkenya kipindi cha maandamano ya Iran kwa siku alikuwa anaanzisha hata nyuzi 5.
Unamzungumzia huyu kubwa jinga MK254
[emoji3]hao watakuwa tu chadema ,ndio wamesababisha hayo
Tangu lini hivyo vyombo vya habari vilithubutu kutangaza mabaya yanayofanyika kwao zaidi ya Africa pekee?Mbona vyombo vikubwa vya habari kama BBC, CNN na ALJAZEELA hakuna
Post na maandamano ufaransa kubwa jinga au huna taarifa?? Kama ulivyokuwa unapost maandamano ya wairan,, usitake kuamisha magoli kubwa jinga,, na nimepata taarifa hapo Kenya kesho mnaandamana tena,, post na hiyo pia kubwa jingaVipi 'mungu' wenu mwarabu aliwaagiza msitukane mkiwa kwenye hiyo njaa au mida ya kufuturu umefika, huwa nawashangaa mtu umekazana kushinda njaa ila unatukana balaa...hehehe majuha kweli...huyo mwarabu aliwaingiza mkenge...mnamuabudu licha ya yeye kugegeda katoto ka miaka 9.
Acha utani tazama vizuriMbona vyombo vikubwa vya habari kama BBC, CNN na ALJAZEELA hakuna
Hivi ulianza lini kuwa na tabia za kitoto hivi?Vipi 'mungu' wenu mwarabu aliwaagiza msitukane mkiwa kwenye hiyo njaa au mida ya kufuturu umefika, huwa nawashangaa mtu umekazana kushinda njaa ila unatukana balaa...hehehe majuha kweli...huyo mwarabu aliwaingiza mkenge...mnamuabudu licha ya yeye kugegeda katoto ka miaka 9.
Makaroni outtttttttttDunia inazidi kushuhudia mabadiliko taratibu huku macho ya wengi yakielekezwa Ufaransa ambapo waandamanaji wakizidi kuongezeka kwa kasi.
Baada ya Macron kupandisha umri wa kustafu kutoka 62-64 imezua maandamano lakini inasemekana na kupanda kwa gharama za maisha kumepelekea watu wazidi kuandamana.
Tunashuhudia jinsi polisi walivyo makatiri wakiua na kuwatesa raia ambao wanadai haki zao huku media zao zikiwa kimya kama hawaoni kinachoendelea. Hii ndo demokrasia wanayotuhubiria?
Maandamano ya Iran west walikua bega kwa bega na waandamanaji lakini sababu imetokea kwenye bustani yao wapo kimya hata haki za binadamu wamesahau.
Miji ya Ufaransa karibu yote maandamano yameshika kasi sana kuna mapigano baina ya raia na polisi huku wengine wakimtaka Macron kujiuzulu.
Acha tuone hatima ya Macron maana kila siku hali inazidi kuwa mbaya. Mlitamani sana haya mambo yatokee Russia ila kibao kimegeuka.
View attachment 2566211
View attachment 2566212
View attachment 2566213
View attachment 2566215
View attachment 2566216
View attachment 2566217
View attachment 2566218
View attachment 2566219
View attachment 2566220
Post na maandamano ufaransa kubwa jinga au huna taarifa?? Kama ulivyokuwa unapost maandamano ya wairan,, usitake kuamisha magoli kubwa jinga,, na nimepata taarifa hapo Kenya kesho mnaandamana tena,, post na hiyo pia kubwa jinga
Hivi ulianza lini kuwa na tabia za kitoto hivi?
Mbona ulikuwa mtu wa kujibu hoja kwa hoja au ni mtu mwingine alochukua ID yako?
Kuwa na stara kwa wenzio na pia ujue hakuna zawadi wanayotoa humu kwa matusi bali unaonekana mtu usiekuwa na utu
Badilika boss hii ni tabia mbaya kuwananga watu na dini yao kila siku
Nimeona nisinyamaze na ukubwa ni Jalala lazima nikemee hata kama utajibu unalojua wewe au utajirekebisha ila ukweli lazima usemwe
Sio sifa wala hakuna wa dini nyingine au asiekuwa na dini atafurahia mambo yako
Pole kama umeumizwa na haya
Mshaanza fujoHehehe acha kunifuatilia, mtu akinitukana lazima akutane na za uso, humu sipo kukufurahisha maana huna umuhimu wowote kwangu, najishusha kwenda kwenye level yoyote unayonijia nayo.....
Haina shida, hayo ni maamuzi yako kutukana ila pia hayana tija piaHehehe acha kunifuatilia, mtu akinitukana lazima akutane na za uso, humu sipo kukufurahisha maana huna umuhimu wowote kwangu, najishusha kwenda kwenye level yoyote unayonijia nayo.....
Haina shida, hayo ni maamuzi yako kutukana ila pia hayana tija pia
Ukitukanwa tutakemea pia ila kwenye hoja jibu ni hayo tu
Uwe na siku njema
SawaHamna sehemu nimetukana yeyote, nimefanya kukumbushia tu ukweli.....