Kilichofanywa na wanahabari, kwa kumtimua Nchimbi, ni sahihi kabisa, hebu imagine inatokea kwa mfano mtu aliyesababisha kifo cha mzazi wako, halafu anakuja siku ya mazishi, na kuigiza kuwa huo msiba, umemgusa sana, sasa mtu kama huyo wanandugu wenzako wakimtimua utasema wamekosea??!!Walichokionyesha Leo Wanahabari wetu katika Viwanja vya Jangwani kukataa kwao kwa Kuwepo Waziri Muhusika kupokea Hoja zao ni Udhaifu, Ujinga na Akili za Kitoto, Inaelekea wamefanya Maandamano hayo bila kujua Malengo na Makusudi ya kweli ya kufanya hivyo. Kwa hiyo inayakinisha kuwa wengi wao walikuwa hapo walikuwa Bendera fuata Upe[o!
Nchi imeshauzwa na pesa wameshagawana hata tukiandamana kilio hakisikiki!!! Jamani watanzania tuungane kuudai uhuru wetu nchi haielekei pazuri. Tulopo marekani tunawaunga mkono
Kwa nini hawakubeba mayai viza?Ingenogesha zaidi huu ujumbe.waziri kavamia mkutano saiv wanamzomea anatimka
Mwendo ule ule msirudi nyuma.
Hivi TBC nao wapo au?
"ukiona waandishi wanauliwa na askari, basi ujue kuwa askari hawataki mtu wa kushuhudia na kuripoti mauaji ya raiya yanayofanywa na askari kwa maagizo ya serikali". by Dr. Azavaeli Lwaitama.
Naunga mkono maandamano, kama haki ya msingi ya kila raia kutoa maoni yake. Siungi mkono kitendo cha kuzomea waziri, kwa kuwa tendo la mauaji, si dhamira ya serikali wala chama chochote cha siasa, bali ni utendaji kazi mbovu wa mtu mmoja na wala si jeshi la polisi.