Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Nchi isitawalike kwa nini,? mbona Police wameshamkamata mtuhumiwa na yuko Rumande? Yani watu kwa kupenda vurugu na polisi bana! hadi kero!
Basi watusaidie na kurudisha uhai wa huyo mwanafunzi wa Dodoma,,,, maana wangetimiza wajibu wao mwanafunzi asingeuwawa kwani wangedhibiti huo uhalifu. Maisha yamepotea kirahisi kabisa. Hakuna jeshi la polisi nchi hii ni genge la wala rushwa tu