Maandamano ya wanafunzi St Johns University

hvi kubaka kuna mahusiano gani na kuiba jamani!
kwani si uniibie tu uniache na kubaka tena ili kiwe nini?
hii style imetoka wapi hii!
hao wezi wana kisasi gani na wanavyuo?
kuna nini hapa?
leo ST JOHN,juzi ilikuwa IFM kuna nini?
nini kinaendelea zaidi ya hiki?
vyuo vinapofumbia macho swala hl nini athar zake?
polisi wanapoona ni swala binfsi kuna nini?
nini kipo nyuma ya nini hapa SIELEWI!kusema ukweli!serious sielewi!
poleni sana wanachuo na wengine wote

Well said. Haya maswali niliyauliza kwenye uzi wangu wa 'kwa wanachuo hili ni janga, ni zaidi ulijuavyo' kabla hata haya matukio mapya, kabla ya mama huyu kuuawa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom