Maandamano ya UKUTA yasipofanyika...

Maandamano ya UKUTA yasipofanyika...

Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.

Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.

Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.

Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].

Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.

Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
Ngosha anakuumiza sana!
 
Wenye kazi Na mambo ya maana ya kufanya hawatoandamana
 
Mandamano hayafanyiki na wachora katuni wataendelea kuchora!

Hizi kelele sio mpya na haziwezi kumalizika mpaka pale wapiga kelele watakapo tembea katika maneno yao kwa sababu vyama vinavyopiga kelele kuhusu demokrasia havina hata misingi ya demokrasia ndani ya vyama vyao.

CHADEMA wamechukua jukumu kubwa ambalo kwa sasa liko juu ya uwezo wao kama chama.

“...Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import. Democracy should develop according to that particular country. I never went to a country, saw many parties and assumed that it is democratic. You cannot define democracy purely in terms of multi-partist parties...”-Mwl. Nyerere.

Tanzania is unique country!
Hivi yule jamaa aliesema uchaguzi akishindwa anaenda kuchunga ngombe sijui wapi huko sijui nduli alishaenda kweli?
 
1472181548581.jpg
 
Mimi bhana huku mtaani hali mbaya kweli, vipi wenzangu?
Jana nilikuwa bandari ya Tanga kuna jamaa kapitisha gari ya milion mia 200 sa sijui hii hali huku mitaani ni kwa wote au kwa baadhi ya raia!!
 
Na kikomo cha miaka kumi tu ya urais kitakapofutwa ..na watu kulazimika kuandamana kupongeza ndo tutakuwa hasa tumeingia
'Tanzania mpya'...

Umeona mbali sababu hata Mmbuyu nao ulianza kama uyoga ,wa Burundi anafikiria kufuta ukomo wa Raisi /wa Congo nae amejiongezea muda kiaina /wa Rwanda alishafanya wanayo tamani wa Burundi na wa Uganda yeye ndio kila kitu na mpinzani wake amemuhamishia korokoroni na wa Zimbabwe nae alishasema atafia madarakani....

Hapa kwetu dalili zilishajionesha na zinaendelea kujitokeza wimbo Mkuu unaoimbwa na makada na wanachama ni huu "CCCM itatawala milele"..

...et.
 
Mleta uzi wewe ni koyoyo... I hate guys who are kissing others guys ass... duniani hakuna Mtukufu isipokuwa Mungu pekee.Sasa wewe kumuita binadamu mwenzako mtukufu ni sawa na kumkufuru Mungu..hizi njaa ZENU na kujipendekeza kwenu kutawapeleka pabaya

Swissyou
Hujamwelewa...hajamwita yeye bali anassma vile ambavyo mwenyewe huyo anaejiona mtukufu anajiita au anapenda aitwe
 
So far naona kwa hii game inayoendelea ya Magu vs Chadema ni kama CDM kwa sasa wanaongoza 2-0

Nasema hivyo kwa kuwa argument kubwa ya CDM kutangaza harakati za Ukuta ilikuwa vitendo vya Magu kutoa matamko yanayoisigina Katiba ya nchi.

Hivi tokea harakati hizi za Ukuta zishike kasi, umewahi tena kumsikia Magu akitoa kauli zake za ajabu ajabu?

Nakumbuka kukurupuka kwake kwa mwisho kulikuwa ni kule kuwasihi waTz wafyatue watoto kadri waeezavyo.......

Bahati nzuri hata tamko hilo Mheshimiwa Ummy Mwalimu 'ameli-crush' kiaina baada ya kueleza kuwa mpango wa uzazi wa mpango uko pale pale na lile tamko la Mfalme la ufyatuaji watoto lilikuwa kama jokes tuu........

Magu aliishatoa kauli moja tu Msimjaribu na kama mnajiona ni wanaume ingieni tarehe 1 barabarani. Baada ya hapo katulia anawasubiri mkutane barabarani. nyie ndo mnahangaika kila siku kupiga kelele matamko kila kukicha yeye anaendelea na kazi zingine anawasubiri tarehe 1. kadharika na ninyi ilitakiwa mkae kimya mkutane kwenye uwanja wa mapambano tarehe 1. Kelele nyingi ni ishara ya uwoga na kushindwa
 
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.

Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.

Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.

Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].

Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.

Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.

nimesoma aliyoandika Lowassa jana/juzi. maybe not in those exact words but ameongea kama ulivyoongea wewe.
 
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.

Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.

Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.

Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].

Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.

Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
Unakuja lini kuwa msatari wa mbele siku ya UKUTA?
 
Mandamano hayafanyiki na wachora katuni wataendelea kuchora!

Hizi kelele sio mpya na haziwezi kumalizika mpaka pale wapiga kelele watakapo tembea katika maneno yao kwa sababu vyama vinavyopiga kelele kuhusu demokrasia havina hata misingi ya demokrasia ndani ya vyama vyao.

CHADEMA wamechukua jukumu kubwa ambalo kwa sasa liko juu ya uwezo wao kama chama.

“...Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import. Democracy should develop according to that particular country. I never went to a country, saw many parties and assumed that it is democratic. You cannot define democracy purely in terms of multi-partist parties...”-Mwl. Nyerere.

Tanzania is unique country!
Yaani Huyu Mwalimu Nyerere hapana. Kuwa na vyama vingi si ndiyo maana ya Democracy. The same , Maandamano si mamana ya democracy!?!?!
 
Mleta uzi wewe ni koyoyo... I hate guys who are kissing others guys ass... duniani hakuna Mtukufu isipokuwa Mungu pekee.Sasa wewe kumuita binadamu mwenzako mtukufu ni sawa na kumkufuru Mungu..hizi njaa ZENU na kujipendekeza kwenu kutawapeleka pabaya

Swissyou
He was being satirical. Read between the lines bro.
 
Saying it so doesn't make it so!
And even it makes it so, it's all within your constitutional rights (Tanzanian Constitution that is, not ya Mtukufu Rais John Joseph Pombe Magufuli mteule wa Mungu, mjua yote asiyepingika wala kujaribiwa- kinda reminds me of Iddi Amin with all these titles) to demand what is rightfully yours.
 
Mkuu tindo

Unataka tuamini na unatuhakikishia kuwa yale mauwaji ya polisi yamesababiswa na maandalizi ya UKUTA na si tukio la ujambazi kama ilivyoripotiwa na vyombo vya usalama?

Sidhani kama umenielewa ninachomaanisha ama umeamua kupotosha kwa makusudi. Lile tukio la kuuwawa kwa askari ni tukio la kihalifu kama matukio mengine, ila kwa bahati mbaya limetokea wakati joto la operesheni ukuta limepanda, hivyo mamlaka zikapita huku kwenye mitandao zikakutana na michango ya chuki dhidi ya polisi kutoka kwenye kundi linalohisi kutotendewa sawa na polisi. Kilichofanyika ni polisi na watawala kulibeba suala hilo kwa jazba na kuamua kulihusisha na siasa kwa lengo lisilodhahiri. Unataka ufafanuzi zaidi ya huo?
 
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.

Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.

Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.

Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].

Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.

Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
huyu mtukufu atafutiwe nchi ya kusadikika la sivyo mwisho wake utakuwa si mzuri,hata hizi kodi anazokusanya zitaishia kuwalipa watu watakaoenda mahakamani
 
Surelly nilimueshimu sana RC makonda but amefika sehemu sasa amelewa madaraka. Rc sisi sote ni binadamu usitamke hivyo hujui kesho yako na wala haunamkataba na mauti.
 
Back
Top Bottom