Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,727
- 29,970
MkuuBiteko sukuma gang hatishiwi nyau 🐼
Tuangalie ya ndani mwetu maana hatupo vizuri
MkuuBiteko sukuma gang hatishiwi nyau 🐼
Wewe una akili kweli? Huoni hiyo video wanayomzomea Biteko na hao ni wale wa kutoka Uyole tu. Weka na wale wa barabara ya Mbalizi na wale wa barabara ya Chunya.
Hapa Ufipa st?Mkuu
Tuangalie ya ndani mwetu maana hatupo vizuri
Bitoke ni MnyarwandaBiteko sukuma gang hatishiwi nyau 🐼
Lumumba StHapa Ufipa st?
Hiyo itasaidia sanaTulia amelipa vijana wengi mno , wengine wamelamba mpunga wakasepa .
Tutakuja na majina ya wahusika wote baadaye kidogo
acha upotoshaji,Leo kuna threads nyingi sana za vibwengo wa uvccm kuponda maandamano ya Chadema yaliyofanyika leo kuliko threads walizoanza kuhusiana na maandamano ya awali yaliyofanyika Dar na Mwanza.
Kusema kweli maandamano ya leo yalikuwa makubwa sana ikiashiria kuwa kadiri siku zinavyokwenda wanaanchi wanazidi kuiunga mkono Chadema katika hoja wanazosimamia kwenye maandamano yao. Jambo hili limeanza kuwatisha CCM ndiyo maana misukule yao humu imeanzisha nyuzi nyingi sana leo kuyaponda.
Chadema shikilieni hapo hapo mpaka kieleweke, somo la uzalendo linaanza kuwaingia wananchi na kujua ni nani mbaya wao. Mziki aliokutana nao Biteko atamsimulia boss wake kuwa hawa watu hawatanii.
funika bovu ndio hii 🤓
..acha upotoshaji,
mahangaiko ya leo yalilenga kumdisapoint na kumhadaa kibaraka na kumfurahisha na actually kumtambulisha mgombea urais wa Mwenyekiti Taifa Dr.Slaaa
mihemko na low IQ ni kitu mbaya sana aise 🐒
Wewe ni zero IQ kabisa ubongo wako ulichelewa sana kupata oxygen wakati unazaliwa.mihemko na low IQ ni kitu mbaya sana aise
Hata Mbuyu ulianza kama mchicha.
Taja mji usiokuwa na nyumba za tope na sisi tukuwekee picha za nyumba zao hapa.Technically Mbeya kuna watu wanaojifanya wajuaji ila kimsingi ni wajinga ndio maana Limji lao la hovyo limejaa mabanda ya tope Kila Kona.
Hakufanya Udikiteta ??!Mkuu wa mkoa ajipime kama anatosha
Relax bas padre dactari wa historia anae panic 🐒Wewe ni zero IQ kabisa ubongo wako ulichelewa sana kupata oxygen wakati unazaliwa.
Labda yamefunika akili yako iache kufikiria.
Tuliza kishundu hicho uzae salama auntie.Relax bas padre dactari wa historia anae panic
kwan dada unaumia? vumilia tu taratibu utazoea 🐒Tuliza kishundu hicho uzae salama auntie.