Maandamano ya Mbeya yafunika yale ya Dar na Mwanza

Leo kuna threads nyingi sana za vibwengo wa uvccm kuponda maandamano ya Chadema yaliyofanyika leo kuliko threads walizoanza kuhusiana na maandamano ya awali yaliyofanyika Dar na Mwanza.

Kusema kweli maandamano ya leo yalikuwa makubwa sana ikiashiria kuwa kadiri siku zinavyokwenda wanaanchi wanazidi kuiunga mkono Chadema katika hoja wanazosimamia kwenye maandamano yao. Jambo hili limeanza kuwatisha CCM ndiyo maana misukule yao humu imeanzisha nyuzi nyingi sana leo kuyaponda.

Chadema shikilieni hapo hapo mpaka kieleweke, somo la uzalendo linaanza kuwaingia wananchi na kujua ni nani mbaya wao. Mziki aliokutana nao Biteko atamsimulia boss wake kuwa hawa watu hawatanii.
acha upotoshaji,

mahangaiko ya leo yalilenga kumdisapoint na kumhadaa kibaraka na kumfurahisha na actually kumtambulisha mgombea urais wa Mwenyekiti Taifa Dr.Slaaa 🐒
 
acha upotoshaji,

mahangaiko ya leo yalilenga kumdisapoint na kumhadaa kibaraka na kumfurahisha na actually kumtambulisha mgombea urais wa Mwenyekiti Taifa Dr.Slaaa
..
FB_IMG_1612420221935.jpg
 
Back
Top Bottom