Maandamano ya kupinga fujo za Mbowe, Mwanza

Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama.

Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka.

Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi Shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana.

Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi Nyashishi.
Sasa wewe kumbe mjinga namna hii! Ya mahakama yanakuhusu nini na kazi zako au we jaji na kama ni jaji kazi ya mahakama ni nini toa huu ujinga mwendawazimu wewe
 
Hakuna cha wenda wazimu pimbi wewe..mbowe apeleke upuuzi wake huko kwao...asituletee majanga ya kijinga...kwanza chadema mwanza ilishaisha zamani hawakutufanyia lolote la maana...
 
Mkuki kwa nguruwe hata hujitambui wewe na uccm wako kumbe hujui kuwa hata wapinzani ni watanzania
 
hayo ya ukabila ya kwako, zuio lilitolewa dar, yeye makazi yake dar, ofisi yake iko dar, kapigwa na polisi kahama, kinachomleta kufungua kesi mwanza ni nini kama sio kuchochea fujo? nasema hapa tutaelewana na tutaheshimiana tu.
haya kachukue buku 5 yako pale Lumumba naskia gawio limepunguzwa
 
hayo ya ukanda ni ya kwako, jibu swali langu usipepese macho, kafurumushwa kahama kakimbia kote tinde shinyanga maganzo nhungumalwa misungwi kaja kufungua kesi mwanza! kama shida yake ahukumiwe na jaji kwanini hakwenda tabora ambako diko jiografia ya kimahakama kwa kahama? tunajua anatafuta shari na ataipata tu.
Utakuwa hujitambui wewe...
 
shangaa! wafuasi wake wanahangaika na kesi kashindwa hata kuwawekea zamana, kashindwa kuwawekea wakili halafu anakuja kuleta fujo mwanza, tumestuka na hatutaki mambo ya kijinga, akahangaike na kesi ya watu wake shinyanga.
Hajaleta kesi nyumbani kwako. Kesi ipo mahakama ya kanda. Kama hupendi, shauri serikali iamishe mahakama ya kanda iwe huko upatakapo wewe...
 
uanadhani mwanza ni dar? ngoja uone mziki wake tunahangaika na mamba mwenyewe sio kenge wadogo wadogo.
We kijana Eddy mwalimu wako alikuwa na shida sanaa kukuelewesha! Maana unaeleweshwa huelewei duuh! Chunga sana!
 
Huu mtindo wa rais katoka wapi au katoka dini gani na watu eneo hilo kufeel kwamba ndo watawala Kwa kipindi hicho naona unazidi Kuota mizizi ya nguvu siku hizi. Huu mtindo umeanzia hasa Kwa Benjamini, Enzi za Mchonga na Ruksa haya mambo hayakuwa na mwangwi mkubwa Kiasi hiki. Kwa sasa siasa za kibongo zinarudi nyuma badala ya kusonga mbele.
 
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama.

Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka.

Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi Shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana.

Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi Nyashishi.
Mngesubiri kwanza coz nimesoma mwananchi ya Leo 15juni,wanasema mbowe ameiondoa hiyo kesi mahakamani kwa muda kwa kuwa amebain kuna makosa ya kisheria kidogo kwenye jalada la kesi,huenda akabadili na sehemu ya kufungulia kesi,muwe na moyo wa subira japo sjui kama polisi watawaacha kama walivyoacha ccm waandamane mwanza huku walisema wamepiga marufuku maandamano na mikutano.
 
Haya ndio matokeo ya div 5.
 
hata mie nimepata hizo taarifa za mbowe kuondoa jarada, kumbe jamaa huwa mstaarabu muda mwingine, hebu atuache tufanyebiashara tulipe kodi katika mazingira rafiki.
 
hayo ya ukanda ni ya kwako, jibu swali langu usipepese macho, kafurumushwa kahama kakimbia kote tinde shinyanga maganzo nhungumalwa misungwi kaja kufungua kesi mwanza! kama shida yake ahukumiwe na jaji kwanini hakwenda tabora ambako diko jiografia ya kimahakama kwa kahama? tunajua anatafuta shari na ataipata tu.
Labda kaambiwa na Mashinji aje Mwanza hivi ule ushahidi wa Mbowe wa mabomu ya Arusha bado anao?
 
Sasa itafika mahali watasema hakuna kuja kununua sangara na sato Mwanza.
Haya ni mawanzo mabaya sana, fikiri angekuwa rais sasa unasema asije mwanza. Vyovyote vile haya mawazo si ya kuweka hadharani yaishie humohumo uvunguni.
 
Kule Kenya Mbunbe mmoja alisema Raila anafaa kuuawa. mbunge huyo anatoka chama tawala. Serikali imemkamata kwa uchochezi na wengine wamo.
Hii kauli ni ya kibaguzi na inachochea fujo haikubaliki.
 
sie tunamkataa mleta fujo basi
 
Back
Top Bottom