To hell with your none sense Diaspora. Ina maana kwako cha maana ni kukutana na JK na baada ya hapo basi aondoke akusulubiwe NY. Utakuwa huna akili kama JK unamdhamini siyo rahisi uwe na double standard kubwa namna hiyo.Hizi nafananisha na tabia za kichangudoa ambaye kwake incoming mteja ndio muhimu na akishamalizana naye hataki wajuane tena maadam ameshachukua hela.
Ujinga unaoongea hapa sikutegemea awe anaongea mtu anayeishi Marekani na mwenye exposure kama wewe. Mnatukatisha tamaa kama ninyi wenye exposure mna akili mgando kiasi hiki itakuwaje kwa locals ambao hawana exposure.
Kumbuka harakati za uhuru zililetwa na watu waliotoka vita kuu ya pili ya dunia baada ya kupata exposure kubwa lakini nyie exposure yenu inawafanya kuwa watu wa kuganga njaa na wasaliti wa mwamko wa mabadiliko yanaoyoendelea nchini mwetu.
Wee hujapiga mswaki kapige kwanza ndio uanndike siwezi kukujibu mtu uliyesahau kupiga mswaki