Mi naona tuvute subira kidogo.usanii mtupu, hata namba ya simu iliyowekwa inapokelewa na mwanamama asiye na taarifa yoyote kuhusu maandamano haya. naomba mode wawape ban walioleta thread hii
Mi naona tuvute subira kidogo.
Hakuna cha maandamano JK ameisha zindua DICOTA elikuwa zuga tu ya waganga njaa ili wapate chochote.
nilisema mimi hapa mwanzoni mwa hii thread & da faiza foxy akawa anawaambia ukweli ... wadau wakanijia juu, huyu mwingereza na kundi lake hawana lolote.... walidhani maandamano yao ya facebook & jf yatamzuia JK kwenda kulitumikia taifa nje ya nchi ... ! tuzo kapewa & DICOTA kazindua ...
wapinzani mkiwa mmejaa watu wa aina kama ya muingereza maneno mengii.... vitendo vichache! siku zote mtaonekana wahuni tu
Hakuna cha maandamano JK ameisha zindua DICOTA elikuwa zuga tu ya waganga njaa ili wapate chochote.
Hapo kwenye blue umenichanganya kidogo. Huyu Mwingereza ni mpinzani au ni UVCCM? Nafikiri kwenye maelezo yake amejitambulisha kama UVCCM so does it make UVCCM wahuni pia?
Picha hizi hapa
View attachment 37790
Tunaomba picha za maandamano!
update:
wakuu. Kunradhi kwa ukimya. Punde tutawamwagienie kilichojiri dicota. Siyo kila msafiri ni mmoja wenu; wengine ni mamba na siyo kenge. Mkae tayari kuhoji hizi dola millioni 3 zimetoka wapi. Hatunyamazi hadi kieleweke. Upuuzi wa kikwete umezidi, kuja kuhonga watu millioni tatu ni aibu kwa tanzania. Tunatayarisha ripoti ambao tutawaashuhia muda siyo mrefu
ahh wapi .. mwingireza na wenzake wote CDM ... mara ohh tumepewa mamilioni tumekataa .. tumewaambia yapelekwe FBI... hehehehe! alikuwa akiwapa burudani Pro CDM wakamgongea like nyingiiiiii.....
CDM BANA...!!
update:
wakuu. Kunradhi kwa ukimya. Punde tutawamwagienie kilichojiri dicota. Siyo kila msafiri ni mmoja wenu; wengine ni mamba na siyo kenge. Mkae tayari kuhoji hizi dola millioni 3 zimetoka wapi. Hatunyamazi hadi kieleweke. Upuuzi wa kikwete umezidi, kuja kuhonga watu millioni tatu ni aibu kwa tanzania. Tunatayarisha ripoti ambao tutawaashuhia muda siyo mrefu
Ulichoahidi ni maandamano ya kumpinga Jk washington.
Yaliyojiri dicota yameoneshwa hata baadhi ya picha zipo humu.
Usibadilishe stori hapa we mpumbavu, sijui milioni tatu. Eleza kwa nini hamkuandamana wakati huko hakuna Ffu na virungu wala maji ya kuwasha...