Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,093
kwahiyo hapa unamaanisha hata kama mtu ni shoga wewe utamtetea kwa sababu ni muislamu? jamani kweli shule ni jambo muhimu.Udini na Ukabila ndio unaoongelewa humu kila siku, nipeni sababu moja nzuri ya kumpinga Kikwete ni nini? zaidi ya dini yake?
Asha Rose Migiro anaishi kariakoo?MTanzania anaishi USA? haiwezekani.
MTanzania anaishi USA? haiwezekani.
one of the features of perimeopausal/menopausal syndrome is the inability of the brain to function properly, I think this is ur problem FF, I wont blame you, its not u, its normal physiology, u cant now think beyond udini.Hapo sasa. Kuna uwezekano mkubwa wanatumwa na imani yao.
<br />Udini na Ukabila ndio unaoongelewa humu kila siku, nipeni sababu moja nzuri ya kumpinga Kikwete ni nini? zaidi ya dini yake?
udini na ukabila ndio unaoongelewa humu kila siku, nipeni sababu moja nzuri ya kumpinga kikwete ni nini? Zaidi ya dini yake?
<br />kwa sababu ya JK. <br />
<br />
JK kawezesha watu kuishi USA; kitu ambacho hakikuwapo kabla.
wewe malizia unangoja nini? Si mlianza arusha, au umesahau?
Ili shairi lako litamvutia mtoto wa chekechea. Kama JK anafanya kazi kwa bidii kwa nini baadhi ya watu wanampinga??? kama unahisi sababu ni udini Je Mwinyi alikua mkristo that why hakupingwa??? Pole kwa swaumu.JK Ndio Rais wa Tanzania na anafanya kazi kwa bidii sana kuhakikisha wote tunaenda shule bila kubaguwana, anahakikisha barabara zote zinapitika bila kubaguwana, anahakikisha Mtwara, Tanga, Kigoma, Tabora, barabara zinafika na maisha yanaboreshwa.
Anahakikisha kuwa sehemu zote zilizoachwa nyuma ki maendeleo kwa makusudi kabisa zinazifikia zile zilizo pendelewa kwa haraka sana.
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe
EliakimMallya@yahoo.com
Sijakuelewa hapo kwenye red... Do you know kwamba JK hakupata kura 100%...?? Do you know kwamba ni rais pekee toka CCM aliyewahi kupata kura ndogo kuliko wote...??? Do you know kwamba unapopata kura less than 100% then obvious kuna watu wanakupinga...??? JK asipingwe kwa mazuri yepi..??? NI UFINYU WA MAWAZO KUDHANI KUWA KUMPINGA JK NI UDINI............Kupinga Kikwete na kutokuona anayoyafanya, ni udini wa waziwazi wala haupingiki.
Niambie ni Rais gani aliyetengeneza Kilomita 11,300 za barabara za lami tokea mkolonni, nyerere, mwinyi na mkapa?
Ili shairi lako litamvutia mtoto wa chekechea. Kama JK anafanya kazi kwa bidii kwa nini baadhi ya watu wanampinga??? kama unahisi sababu ni udini Je Mwinyi alikua mkristo that why hakupingwa??? Pole kwa swaumu.
Mbona imewezekana kwa miaka mingi tuu, we vipi?MTanzania anaishi USA? haiwezekani.
Ni tawi la Watanzania lililopo USA.Mimi ninachojua ughaibuni kuna matawi mengi ya Magamba, sasa nyie mnaoandamana mmetumwa na nani? Chadema??? Kwani USA lipo tawi la Chadema?