Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
La muhimu hapa ni kwamba maandamano yamepangwa na yatafanyika, labda jeykey asiende huko na mkakati wa kuishinikiza marekani isimpe visa umepamba moto
 
Kwanini US embassy wanawapa visas anyway? Hizo funds wanatoa Tanzania kama donor si zimeleta deficit huko US. Sometime nafikiri US na Europe na hawa ma-donors ni wanafiki kweli kweli wanapiga kelele at the same time they are enabling people like kikwete to continue killing their people. How come kikwete get to visit US and these nations many many times while his country don't have constitution and ccm continue to cover up everything for their wives and kids.

US Ambassador we are calling you out to get evolve and help Tanzanians live up their dreams. We need US to take a lead in Tanzania similar to Zimbabwe and Libya. Kikwete conquer us by force not our will!
Please Please stopping kikwete delegation to US is important signal!
 
Kabla hamjaandamana hakikisheni kwanza makaratasi yenu yamekaa vizuri

Msije kurudishwa hapa mkashuka JKNIA mkadandia vipanya lol
 
Kaka huo ukurasa ou wall fb ni MAANDAMANO DHIDI YA KIKWETE na habari hizi zimetoka kwenye gazeti la DIRA YA MTANZANIA
 

dude relax!

Rais wetu atakwenda kuwakilisha taifa States ... na atarudi... au weye ni mmoja ya wale watu mnaodhani anakwenda kula kuku kule!

P.S - Tanzania ni nchi ya vyama vingi huwezi ukalinganisha na Libya!
 
hii nimeipenda! sasa nenda kawaambie na wenzako wanaolalama kila siku kwamba mfumo kristu unawakandamiza waislam...nenda kawaambie waache majungu na wafanye kazi!
 
dude relax!

Rais wetu atakwenda kuwakilisha taifa States ... na atarudi... au weye ni mmoja ya wale watu mnaodhani anakwenda kula kuku kule!


P.S - Tanzania ni nchi ya vyama vingi huwezi ukalinganisha na Libya!
Anakwenda kuwakilisha Taifa kwenye nini? Hivi kazi ya Bernad Membe ni nini? mbona simsikii kwenda Japan ambako ndio marafiki zetu wa kweli? au kwa sababu Wajapan hawaintatain visiting za kipuuzi?
 
hii nimeipenda! sasa nenda kawaambie na wenzako wanaolalama kila siku kwamba mfumo kristu unawakandamiza waislam...nenda kawaambie waache majungu na wafanye kazi!
Mkuu naona unapata shida kulijibu sanamu, huyo ameshapewa ban yake ambayo alikuwa anaitaka kwa hali na mali, sasa sioni mantiki ya wewe kuendelea kumjibu mtu mwenye poor thinking capasity to that level.
 
Naunga mkono hoja. Hii ni kwa sababu watanzania tumekuwa kama kondoo, tunaswagaswagwa tu, Hii nchi itakuja kuwa kama Zimbabwe au somalia kwa ugumu wa maisha unaosababishwa na uongozi mbovu wa huyu jamaa. The country is going to collapse huku tuanajidai tunavumiliana. Hivi watanzania kwa nini tumezoea shida hivi, hasa hizi zinazosababishwa na binadamu wenzetu?
Tanzanianz, rise up fight fo your freedom, this is the hour of salvation. ALUTA CONTINOUR
 
Waandaji tuelezeni hao wadhamini wenu nina kinani? Na wana interest gani na Tanzania. Mapinduzi ya kumuondoa Siad Barre Somalia yalikuwa na wadhamini wengi wa nje leo hii wako wapi? Wasomali wanamkumbuka Siad Barre, Somalia moto hakukaliki. Kama mngekuwa na uchungu wa kweli na Tanzania msingesubiri wadhamini, nachelea kuwaita ni vibaraka. Hakuna hata mzungu mmoja mwenye interest ya kweli kuisaidia Tanzania na Afrika kwa ujumla; wanachoangalia ni maslahi yao binafsi. Msipoteze muda wenu angalieni yaliyowapeleka Marekani.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 

Chama

Hivi kweli wewe binafsi kama Chama, unafurahishwa na hizo safari za Mhe. Rais JK kila kukicha? Kama unafurahishwa, basi kuna namna unavyofaidika🙂 Binafsi, japo ninampenda sana Rais wetu lakini kwa hizi safari za kila leo na ukimya wake juu ya mambo ya msingi ya nchi yetu........ninakili, uvumilivu unaelekea kunishinda.........

Haiwezekani tuendelee kuwa na Rais anayefikiria safari muda wote wakati wananchi wake wanaendelea kuteseka!
 
UKOMBOZI HUFANYWA NA WATU WENYE FIKIRA PEVU!this country should liberated, it is a shame on us! tanzania+its major resources, we have no even a single reason to miss good health care centres, road!good educations facilities+ good pay to our teachers, power n other staff, suprising eneough eti hatuna kitu cha uhakika kati ya vitu nilivotaja hapo juu! aibu! ka viongozi wameshindwa kujua responsibilities na roles zao let us teach them! thanks all protesters vs KkTE!!!!!!!
 
Unafikiri wanao huo ujasiri? wenyewe ni wapambanaji wa keyboard, na wewe peke yako umewashika pabaya sana.

Bado umelala... Hata kule walikotumia Keyboard kupublish video clip ndani ya You tube tumeona madhara yake , Au hufuatilii news za kimapinduzi !!!!
 
Tunawaombea mfanikishe tumechoka hali yetu kiuchumi kwani hadi wenye mafuta wanagoma kutuuzia mafuta na rais hajaongea lolote mpaka leo
 
Chama, hata kama hela zinatoka kwa shetan mwenyewe zije tu..eti marekan inaharibu wa2 mbona yeye ndo anaenda huko sasa aende akakutane na waandamaji akome...alafu ngoja nikunong'oneze kidogo dunia sasa iv sio sehdmu salama ya kuish kama unaogopa machafuko kufa kabisa uwah ahera
 
Nioneshe kimoja ambacho JK hajakifanya zaidi ya Rais yeyote wa kabla yake, kama huna ujue huu ni udini.


EBU ELEZA UNA MATATIZO GANI YA AKILI ILI USAIDIWE. Kwamba haujui kuwa mfumo wa elimu ya Tanzania mgogoro, kwamba huduma za afya mgogoro, kwamba huduma za kijamii ndo ziko ICU, kwamba uongozi wa nchi hii ni wakishemeji shemeji na kishikaji hadi tumefika mahali pa kutenga fungu katika wizara zetu la kushughurikia budget ili zipitishwe na Bunge (serikali hiyooo!), kwamba rushwa na ufisadi katika mikataba umekithiri tena JK akiwa na record ya kuwa Waziri wa mambo ya nje kabla hajaukwaa uzugaji wa ikuru ni mwakilishi mzuri wa mikataba ya makampuni ya kimataifa, kwamba amekuwa kinara wa kuanzisha hisia za udini ambazo zimekuvaa mama Fox toka miguuni hadi utosini, kwamba Tanzania imekuwa fukara hadi kufikia Rais wake kupanda ndege kwende Marekani kuomba msaada wa net! NET! NET! Rais unaenda kuwaombea watanzania net Marekani! Ngoja nisimame nisiseme neno baya. SHAME ON YOU AND HIM!!!
 
naunga mkono hoja even bongo tuandamane juu hali tete ilivyo hapa tz.
 

Nimependa Rangi ulizotumia, Nakushangaa tena unampinga mwnyekiti wako!
Wewe unaona ni vizuri baba akae tu nyumbani asiende kutafuta?
Watoto watakula nini? kumbuka kila akisafiri anaenda ku explore opportuinities!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…