Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Bora hata Mary Chatanda anaweza kuiongoza Tanzania vema kuliko Mkweree
 

Unanchekesha, Kikwete ndio aliokuja kugeuza sheria ya madini au umesahau, ni nani alikuwa anaigawa bure?

UPDATE 2-Tanzania increases royalties in new mining law | Reuters

Sat Apr 24, 2010 7:48am EDT
 

Ukweli huo nimekuwekea sasa wewe jibu huo ukweli wako, hata Slaa ana kadi ya CCM itakuwa wewe!
 
<br />
<br /> Hivi jamani huyu kiumbe ni wa maumbile gani? ME/KE? Mi ametokea kunichafua ndevu balaa. Yani humu ndani huyu ni mkosi FLUU!!

Huna hoja! kafanye maandamano ya kudanganya watu, ukweli unabaki kuwa ukweli.
 
unachekesha..unashangaza ......duh!
Ni Nyerere pekee ndiye anayeonekana ni kiongozi bora mpaka wakati tuu tunapozungumza...! wengine wote waliomfuata ni hovyo hovyo tu!
Kinacho nishashanga ni jinsi unavyojivunia kikwete kafanya hiki kushinda nyerere kikwete kafanya kile kushinda nyerere nk..Kikwete akili yake ni kama yako iko kuleee masaburi aliposema.
Naomba nikuulize ...tulipopata uhuru ....nyerere alianza kutuongoza tukiwa katika hali gani au tuseme tanzania ilikuwa katika hali gani? kulikuwa na wasomi wengi? kulikuwa na viwanda vingi? shule zilikuwa ngapi , vyuo vilikuwa vingapi?barabara? n.k .! Je nyerere aliweza kupambana na hizo changamoto za taifa changa?na alifanikiwa kwa kiasi gani ?
Na Kikwete alipoanza kuongoza tanzania ilikuwa na hali gani ? na hapa tulipo tunastahili kuwa katika hali hii? mind you...kikwete amekuta tayari kuna msingi umeshajengwa ..wasomi wengi,,,madini tunachimba...wawekezaji kila kona nk

kwa mtazamo wa harakaharaka utagundua pamoja na mapungufu yake mengi , nyerere ndiye kiongozi bora na hatujampata kiongozi kama yeye!
Tungeanza na kiongozi mwenye akili kama ya huyu zombie anayeongoza sasa wakati tulipokuwa taifa changa, tanzania leo hii tungekuwa katika hali mbaya sana kupita hata somalia! thats a fact! Huyu zombie anaweza kukenua tu..period!
wandugu mpuuzieni huyu firauni ..maana yupo kazini ..sasa mkimjibu kila post anayoandika mtapoteza muda wenu wenye thamani!
Nawaomba sana kwenye maandamano yenu mtengeneze mabango mengi yenye picha nyingi zinaoonyesha uhalisia wa maisha bongo..kama vile zile nyumba /shule za tembe ..n.k mchafueni huyo jamaa mpaka asiwe na hamu tena ya kutia mguu huko kwa watu ambao yeye na ndugu zake wanawaita makafiri lakini ni kila uchao wanakimbilia hukohuko kuombaomba!
 
Enough z enough Kikwete must resign
 
nyie huyu faizafoxy mngemuignore na pumba zake,analipwa kwa kazi yake ya kudivert attention za watu hapa jamvini,hapa amewafanya mdiscuss pumba zake badala ya maandamano na nyie mkafall for her tricks......
 
 

Hivi ulikuwepo wakati wa nyerere au una hadithiwa tu?
 
Mkuu issue ya udini inayotumiwa na wadini kuwa JK analaumiwa kwasababu ya dini umeimalizia hapa.Hii posti ndo ukweli wenyewe na hoja yako hii imezitrump hoja zote za wadini humu.Hoja makini kabisa kamanda.Na mimi pia huwa nakaa mbali na threads zenye mwelekeo wa kidini.
 
<br />
<br /> Hivi jamani huyu kiumbe ni wa maumbile gani? ME/KE? Mi ametokea kunichafua ndevu balaa. Yani humu ndani huyu ni mkosi FLUU!!
huyo siyo kiumbe ni kikosi kazi/taskforce...Z.ombie(JK) ameona image yake iko so tarnished hapa JF so ameamua kuajiri watu wa kuing'arisha hapa JF ! Ni watu wa kupuuzia tu maana wenzao wakaanga mihogo akina semeni, chausiku ,maimuna ,shida,tatu wanayaona machungu halisi ya utawala wa JK!
 
Kama huamini nikupe website kadhaa Marekani na Ulaya uchaguwe event unayotaka kuhudhuria kama haujaona wamekutumia mwaliko kwenye p.o.box yako na email yako.

Matola,

Nitumiage na mimi niende huko kuosha macho nimechoka kukaa vijijini!!!!!!!
 
Wishful thinking.
nimekuuliza hapo juu ..mbona hujibu hoja...au futari imeshakulewesha......nyerere alitutoa wapi wakati bado tupo taifa changa baada ya uhuru mpaka alipong'atuka? rejea post ya juu
 
jibu hoja! si unasema nyerere hakufanya kitu...ukifananisha na zombie wako wa awamu ya nne

Kwanini wewe umeandika nyerere kafanya nini au umemwaga pumba, sijakiona ulichisema kakifanya au ulisema kafanya nini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…