Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
I wish ningekuwepo huko tujumuike pamoja. Nawatakia kila la kheri mlioko huko kindly jitokezeni kuunga mkono maandamano hayo.

Hivi huyu faiza fox ndo nani? Manake nashangaa kuona kila ki2 anabisha. Hata vya wazi. F*** kabisa.

Hili wazo limekuja baada ya kuona wadau wa USA wakianzisha kitu kizuri sana-vuguvugu la mabadiliko Tanzania. Hili nalo lifanyike ulaya, amerika, asia na afrika. NA TANZANIA PIA. Wenzetu wameweza kuendesha mabadiliko haya kutokana na mifumo ya nchi zao kutokuwa kandamizi sana. Na pale zilipokuwa kandamizi kupitiliza ndo ulikuwa mwanya wa mabadiliko. Kwa Tanzania tupate kwanza mwongozo toka diaspora ndipo tujue nini cha kufanya. Na nyie vyombo vya usalama kwani mnaishi Mars? Nyie hamguswi na haya matatizo? Ifike wakati muamke. Na wakati wenyewe ndo huu. Nchi ikiwa na mabadiliko, nyie pia yanawafikia. Maji ya bendera hayatawafikisha popote. Tatizo jingine ambalo linakwamisha mabadiliko nchi hii ni matabaka. Changamoto wanaachiwa wanasiasa wa upinzani na wajasiriamali, na kwa kiasi kidogo wanafunzi. Sie watu wa tabaka la kati tumejiweka kando. Na hao wa diaspora ni machinga? La! Ni watz wenye uchungu na taifa hili dhidi ya wenye uchu na taifa hili. Babu Mahimbo alisema kuwa hatakufa hadi ccm itakapokufa. Ccm ilishakufa kabla ya babu. Alituambia mmm kuwa dereva keshakufa nasi abiria hatuna habari. Hadi itokee ajali ndo tutajua. Nami nasema, mapinduzi halisi ya taifa hili yataanzia nje ya Tanzania. Kama ilivyokuwa wakati wa kumng'oa mkoloni na vibaraka, nchi hii (pamoja na zingine) ilikuwa ardhi oevu ya kustawisha wanaharakati kwa ajili ya kukomboa nchi zao. Sasa nchi zao zitakuwa ardhi oevu za wanaharakati katika kuikomboa Tanzania

tuko pamoja mkuu! Mimi nashauri pia ziwepo picha zinazoonesha tofautii kati ya mafisadi na walala hoi, kwa mfano tofauti za makazi! Pia ziwepo picha zinazoonesha shule zetu za kata ambazo wanafunzi wanakaa chini..! Nadhan itamchoma sana hiyo...!

Ufisadi wake ni kwa kuwa yeye Muislaam. Ufisadi wenu hata kodi mpaka mmelazimishwa kulipa, miaka yote hata kodi ya serikali mlikuwa mnaiba. Sasa nyinyi wachaga hata kodi basi hamtaki kulipa halafu mnajidai mnaipenda nchi yenu? mnanshangaza!

Haya dada/kaka umesikika punguza jazba.
Ila unaibidi uiulize serikali ilikuwa wapi isichukue kodi yake miaka yote hiyo. Wenye akili tunajua mnatengeneza kashfa ila mmeula. Na dada ufisadi hauna kabila yeyote anaweza kuwa fisadi, cheap mind goes to cheap staff.

Tunaandamana DC mpaka akimbie tena sie yeye tu mwaka huu tunahakikisha haji mtu kuuza sura na fedha za masikini USA

Early in life,i had learned that if u want something,you had better make some noise,,keep up good people we are together

Early in life,i had learned that if u want something,you had better make some noise,,keep up good people we are together

Haya sasa wawapeleke mbwa wetu (polisi) huko u.s.a wakazuie hayo maandamano......keko kwako mallya

maneno mengi lakini utakalazaji zero. Au mnataka kama yale yanayoendelea Uingereza.

Hakuna lolote zaidi ya kutaka kuleta shari nchini mwenu. Kwanza malizeni yale ya Arusha kwanza kabla kufikiria mengine.

mambo ya arusha yamekwisha,ni magamba wanaoturudisha nyuma na rushwa zao walizojijengea kama utamaduni.

Hakuna haja ya kwenda kwenye jukwaa la lugha mkuu? Naona saa hizi spelling unkosoa hapa hapa. Jamaa kwa majivuno ni hatari, Mungu angekupa na ufahamu mmhh!!!

Unasumbuliwa na moja au yote katika haya hapa:

When the brain is healthy it functions quickly and automatically. However, when problems occur, the results can be devastating. Some of the major types of disorders include:

• neurogenetic diseases, eg. Huntington’s disease and muscular dystrophy;
• developmental disorders, eg. cerebral palsy;
• degenerative diseases, eg. Parkinson’s disease and Alzheimer’s disease;
• metabolic diseases, eg. Gaucher’s disease;
• cerebrovascular diseases, eg. stroke and vascular dementia;
• trauma, eg. spinal cord and head injury;
• convulsive disorders, eg. epilepsy;
• infectious diseases, eg. AIDS dementia; and
• brain tumors

In the U.S we're protected by the first amendment just to let you know.

"Congress shall make no law respecting an
establishment of religion, or prohibiting the
free exercise thereof; or abridging the freedom
of speech, or of the press; or the right of the
people peaceably to assemble, and to petition
the Government for a redress of grievances."

Nilidhani US Amendment I inatetea matusi! Bado nawashauri, msiandike mitusi kwenye mabango yenu...

umesahau-anaenda sauz kuomba msaada wa fedha na kuambiwa,mbona kuna fedha za watz ambazo ni robo ya bajet nzima!

Hapo kwenye red, hongereni!

Kupinga Kikwete na kutokuona anayoyafanya, ni udini wa waziwazi wala haupingiki.

Niambie ni Rais gani aliyetengeneza Kilomita 11,300 za barabara za lami tokea mkolonni, nyerere, mwinyi na mkapa?

tatzo lako hujapata elimu itakayokufanya uweze kulink kati ya ongezeko la watu na maendeleo yanayotakiwa kufikiwa.unatumia kauli za rejareja sana.! Mbona sumbawanga wanashindwa kusafirisha mahindi yao na kuuza mikoa yenye njaa?

ni nini thamani ya democrasia?? Hapa ni swali gumu sana lakini democrasia thamani yake mara nyingi huwa damu za watu. Si jambo zuri kusema damu lakini ndiyo ilivyo na tanzania damu zimeshamwagika anzia zanzibar , arusha , tarime , moshi wakati wa mrema,,, na sehemu nyingi ambapo bado mna kumbukumbu nazo.we have paid already and now we need to have our right.....come up people together we can

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…