Habari za kuokoteza nenda kaongee na walimu wa madrasat.
The majority of Americans (76%) identify themselves as Christians, mostly within Protestant and Catholic denominations, accounting for 51% and 25% of the population respectively.[SUP][4][/SUP] Non-Christian religions (including Buddhism, Hinduism, Islam, and Judaism)
Acha akili mgando wewe bongolala. Nyie ndio mnaorudisha nchii hii nyuma kutokana na kuwa na lack of critical thinking. Fisadi ni fisadi tu awe Kikwete, Zitto awe Slaa. Kama fisadi ni fisadi tu.
WAKATI MALAWI WAPEPIGA MARUFUKU FOREGN TRIP ZOTE KWA VIONGOZI WA UMA HUKU KWETU NAONA CHRSTOPHER COLUMBA ANAZIDI KUSPEND.

KAMA VIPI TULIANZISHE KAMA MALAW.

WAINGEREZA NDO WAINGEREZA WAMELIANZISHA CC TUNASHINDWA NINI?

labda ungejipanga ukaja na hoja ya maana ningekuelewa, mimi siwezi kufanya argument na mtu wa viwango vya madrasa, naona natumia muda wangu unnecessary. best option ni kukuignore. Takbiiiiir!Wakristo majina tu hao. Huijui vizuri Marekani.
whatever, dude!Haya ni maandamano ya Kidini, na yamedhaminiwa na Washirika wakubwa wa hiyo dini ya Kikiristo.

Big up watanzania wa washington, I wish you All the Best
Udini unakusumbua wewe. Mwinyi alikuwa raisi wetu na alikuwa poa. WEWE NDIE MDINIUdini ndiyo unaoisumbua TZ. Haya maandamano hayakufanyika wakati Mkapa alipokuwa anaibia nchi, watu walikaa kimya. Huu ni Ubaguzi mkubwa kwa JK, kwa sababu tu ni Muislamu.
Hao wanaojificha chini ya mwamvuli wa kidini tutawafuata huko huko. Inawezekana tukisha wawajibisha hawa mafisadi na hii topic ya udini itapotea since hii topic huwa inaibuka interest zao zikiguswa. Hii ajenda niyakutufanya tupotezee malengo muhimu; but it is unfortunate wamechelewa kuileta, imekuja kipindi ambacho most Tanzanians wan-astruggle in every aspect i.e. kielimu, kiuchumi etc. Because of that, we careless what/who/where one worships as long as they can get what they have been deprived of for years.
Udini unakusumbua wewe. Mwinyi alikuwa raisi wetu na alikuwa poa. WEWE NDIE MDINI
Mwinyi alikuwa poa. Mkapa mmmnnhh may be term ya kwanza lakini ya pili alikuwa kama Mkwe.re. Ila kuwalinganisha kati ya Ben na Mk.were. Heri Ben mara 1 million kuliko huyu mjinga JKHapa JF, Rais wanaosifiwa ni Nyerere na Mkapa, why? Huo si Udini. Wafuasi wengi wa CDM ni watu wenye muelekeo na view zaidi ktk Christians Fundamentalists. Na hao hao ndiyo wanaondaa haya maandamano.

mawazo ya omba-omba kama mjomba wako jk. no creativity, no innovation...all you think with your uncle is pleasing wazungu so that you continue begging.

ukweli hakuna la maana mjomba wako kafanya na kama utaendelea kumtetea utaniponza nipigwe ban.
Mwinyi alikuwa poa. Mkapa mmmnnhh may be term ya kwanza lakini ya pili alikuwa kama Mkwe.re. Ila kuwalinganisha kati ya Ben na Mk.were. Heri Ben mara 1 million kuliko huyu mjinga JK
Hakuna wa kuweza kuwa-fire hao watendaji wake kwa kuwa wao ni presidential appointees. Yeye anagoja nini? Anawafagilia? Ndio maana Pinda alishindwa kum-fire Jairo na akampelekea JK report. Amefanya nini? Anawaza safari na kesho kutwa anaruka tena kwenda Namibia. Kama sio fisadi mwenyewe ni nini?Tatizo la nchi kuwa na Rushwa si Rais, bali linahusu viongozi wa nchi nzima. Utendaji wa kazi pia hauhusiani kabisani Rais. Rais siyo mtendaji mkuu wa Serikali. Hizo ni kazi za Waziri Mkuu na Bunge.
Tatizo kubwa la TZ ni kwamba hatuna Bunge zuri, na watendaji. Kazi ya Rais ni kuangalia maslahi ya nchi International. Huu mfumo ameufanya zaidi JK, kwa kufuata mfumo wa Marekani.