Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Nawatakieni amani,utulivu,na mwenyenzi Mungu awatangulie katika kutimiza wajibu wenu kama raia wapenda haki katika nchi yetu.Nawaunga mkono wapendwa mlioko USA,nahitaji maeneo mengine nayo yaanze hatimaye yahitimishwe huku nchini

Mimi nilifiri mnashinikiza ajiuzulu!

Safi sana: Bango moja lisomeke... "Watanzania hatutaki kuwa na rais 'kilaza' asiyejua kwa nini Tanzania ni maskini.."

namshukuru Mungu kwa kuendelea kutunyanyulia wayetezi, kama ilivyokuwa judges kw kipindi cha isrel

Hakuna atakayeshangaa maana watanzania wapo wengi nje ya nchi kwa sababu mbali mbali za msingi! Mimi binafsi nawaunga mkono kilio cha Watanzania kitasikika duniani pote...maandamano mengi ya TZ hayatangazwi na kusikika duniani pote.

Wewe lazima una matatizo upstairs. Dini ya Kikwete sisi inatuhusu nini? Kamwe hamuwezi kujificha kwenye kivuli cha DINI. Watanzania kwa ujumla wao, bila kujali dini zao, wamechoshwa na ubabaishaji wa serikali hii na sasa wameamka. Saa ya ukombozi hatimaye imewadia.

kabla kubisha pitia bajeti ya mwaka huu iliyosomwa na magufuli utaona hilo. baadaye lete hoja

Mzee, hili swala siyo kubisha wala nini. Ni swala la kutumia logic. Serikali ya TZ haina uwezo wa kujenga kilometer 11000 za rami kwa miaka 6. Tumeona barabara ya Dodoma-Mwanza kilometer kama 700 tu ilivyotusotesha toka Mkapa. Dar-Kibiti imechukuwa karibu miaka 10 kuisha. Kilometer 11000 Sasa kama Magufuli alisema hivyo, then tunaomba hiyo bajeti ili tuuchambue ukweli. Halafu wewe unayesema hivyo si ututajie ni barabara gani zenye urefu huo zimejengwa na kuisha ndani ya miaka 6.

Kuna kitu nashindwa kuelewa kutoka kwako, wewe umesema ni mu Oman and ur very proud of that. sasa swali langu ni kwamba mambo ya Watanganyika wewe yanakuhusu nini? hakuna forum za waarabu wenzako?
sisi hapa tunajadili mustakabari wa nchi yetu kwahiyo ni busara ungetupisha wewe nenda kule jukwaa la dini ndio unafiti. narudia tena kusema siasa za Tanganyika tuachie Watanganyika wenyewe.

Sawa kabisa, huyu jamaa kwa sasa anatakiwa asipewe entry visa ya nchi yoyote, nchi ina matatizo lukuki ya kushughulikia lakini yeye kazi yake kuzurura bila tija, ziara nyingine awaachie wa chini yake, kila jambo lazima aende hata akisikia kuna semina ya kukata vitunguu ataenda tu.

Content ya habari ilikuwa haieleweki, na sio swala la spelling, hakuna kitu kama United States Department!

Isitoshe, U.S. State Department hawawezi kupokea maandamano binafsi ya Wabongo against Rais wao. Kebehi nyingi kumbe waongo, vilaza wakubwa.
Mshamba tu wewe huna jipya.

Nani wakuandamana Washington DC, wadanganye Pro-CDM wenzako hivi unadhani utufahamu mnavyoishi huku Marekani!
Kuhusu Marekani, UK, unidanganyi kitu, 85% ya Watanzania wanaokaa Marekani ni Overstay halafu ni unlegal hawana makaratasi, wengine wamefiwa na baba zao mama za Tanzania wameshindwa kuja kuzika kama wakija hawawezi kurudi tena Marekani serikali ya Marekani haiwatambui wanaishi kama kwale tu huku Marekani halafu leo unatauambia eti wajitokeze kwenye maandamano thubutu!
Halafu tuambie Washington DC ni kubwa hayo maandamano yanaanzia wapi?

Wacha kuishushia hadhi idara ya usalama wa Taifa, yaani unadhani TISS inaweza kuajili mambumbumbu kama FF? kwanza ungejuwa anapoishi ndio ungechoka kabisa, huyu FF anaishi katika moja ya nyumba duni kabisa pale mtaa wa kariakoo.

HAHAHAHA KUMBE WALIJUA TUNDU LAKE HUKO K.K

Halafu wewe Mallya Mchagga wa Kibosho unatuchanganya! Unasema maandamano yenu yatapokewa na viongozi kutoka United States, State Department!
Ueleweki Mangi..

HAHAHAHA KUMBE WALIJUA TUNDU LAKE HUKO K.K
Nimewaahidi wana JF leo jioni au kesho nitaupload nyumba yao anayoishi Faiza fox ili muone jinsi anavyoishi kwenye makazi duni kabisa halafu anajifanya kana kwamba ana maisha bora.

Nimewaahidi wana JF leo jioni au kesho nitaupload nyumba yao anayoishi Faiza fox ili muone jinsi anavyoishi kwenye makazi duni kabisa halafu anajifanya kana kwamba ana maisha bora.

Wahi mkuu, anakera sana huyu kiumbe

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…