Maandamano ya Karagwe ktk picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya Karagwe ktk picha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchonga, Mar 4, 2011.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,233
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. t

  tononeka Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mbona picha zenyewe hazionekani? Tuma tena.
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,759
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  mbona hakuna picha :mullet::mullet:
   
 4. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nothing is displayed
   
 5. Taifaletu

  Taifaletu Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbona umebaki na picha akilini mwako na kuwasilisha kisichokwepo?
   
 6. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kaka umejitahidi sana endelea kutuhabarisha kabisa
   
 7. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,596
  Likes Received: 991
  Trophy Points: 280
  Tumeshamsaidia, naamini zinaonekana sasa
   
 8. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,845
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  Ndo maana mkwere anapata presha.

  JAMANI SIO MCHEZO WE UNAIITA RAIS,halafu mtu ambaye umemchakachulia kura watu bado wanamsapoti hivi, duu! Naona usalama wa taifa walimpelekea videos bila kuchakachua,..
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,845
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  picha zinaonekana labda mtandao wako upo slow,si mchezo hadi watoto wamemchoka mkwere
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mbona watu wa kawaida?
   
 11. Fisadi Mkuu

  Fisadi Mkuu Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mdau tunakushukuru sana kwa picha japokuwa quality yake haiko poa sana.

  At least wananchi sasa wanaanza kuelewa maana ya maandamano kwa kuwa miaka ya nyuma maandamano ilikuwa ni Dar tu,leo hadi Karagwe wanaandamana? Du hapo CDM kwa kweli wana haki ya kujivunia walivyoweza kuwahamasisha watu na wale wanaoyapinga maandamano wakienda dukani tunawaomba wanunue sukari kwa sh 2,000 kwa kuwa bei imeshushwa kutokana na juhudi za CDM kuandamana
   
 12. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inabidi aachie ngazi tuu..wananchi waliodanganywa tayari wamemshtukia kuwa hayupo kihalali kwenye hiyo ofisi kuu
   
 13. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,847
  Likes Received: 1,995
  Trophy Points: 280

  Mpeleke Jeykey uone kama atambulia hata watu mia bila kupeleka malory na kugawa pilau!!
   
 14. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ingekuwa wewe ni J-K wa Magogoni Dar es Salaam ungefanyaje?
   
 15. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,124
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Hawakubebwa na fuso wala kupewa kofia! Ni wa kawaida mno.
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kwani hao watu ni wengi? mbona wamepiga upande mmoja?:A S 112:
   
 17. Fisadi Mkuu

  Fisadi Mkuu Member

  #17
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We unavyofikiri huyo JK wako akienda Karagwe anaweza akapata idadi hiyo?Awamu iliyopita alipigwa mawe kule Mbeya safari hii watamrushia mavi.Rais gani hapendwi na wananchi?
   
 18. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pinda mbona kafunika kagera?
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  unataka kufananisha na wapi? dar, Mwanza, Arusha, Mbeya....? sehemu kama hizo kuwapata hata watu 3000 siyo mchezo ndiyo maana CCM hupeleka wasanii wa ze comedi, bongo fleva, kuwabeba kutoka vijiji tofauti tofauti
   
 20. Fisadi Mkuu

  Fisadi Mkuu Member

  #20
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuwekee picha za unayoita amefunika halafu tulinganishe na nyomi la wanayemuogopa (Dr wa ukweli PhD)
   
Loading...