Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 684
haya ni mapokezi ya kagera wanachama wana kadi za chama chao
weka picha tuone, kama zina wanafunzi, wafanya kazi tafadhali usiziweke maana huwa mnawalazimisha kuhudhulia mikutano yenu...Pinda mbona kafunika kagera?
mbona watu wa kawaida?
mbona watu wa kawaida?
Hivi wanafika 15 na ukiangalia wote walio na kadi wamechoka mbaya kabisa lolhaya ni mapokezi ya kagera wanachama wana kadi za chama chao
![]()
haya ni mapokezi ya kagera wanachama wana kadi za chama chao
![]()
kwani kuna kupiga kura tena!? hicho ndicho kitakuwa kiama chenu....hivi kura za hao watoto wanaoonekana hapa huwa zinahesabiwa pia?...kwa kweli kwa kura hizi Slaa ni rais wa........
kwani kuna kupiga kura tena!? hicho ndicho kitakuwa kiama chenu....
sasa wewe ulitaka watu maalum ,kwani wamesombwa na malori hao mpaka wawe maalum?mbona watu wa kawaida?
hivi kura za hao watoto wanaoonekana hapa huwa zinahesabiwa pia?...kwa kweli kwa kura hizi Slaa ni rais wa........
haya ni mapokezi ya kagera wanachama wana kadi za chama chao
![]()
Tumeshamsaidia, naamini zinaonekana sasa
kwani hao watu ni wengi? mbona wamepiga upande mmoja?:A S 112:
we ulidhani ni majini au? mbona hata jk ni wa kawaida sana ndio maaana anaogopa peoples power. na kama unadhani hao ni wachahce mwmbie mkwere aende akahutubie tuone atapata wangapi kama sio viongozi wa ccm na magari yao ndio watakao hudhriambona watu wa kawaida?