Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

Hapo zamani za kale PALIKUWAPO NGANGARI akaja NGUNGURI akamkomesha.....
Pakapitapita kamuda kidogo akaja PIPOZ PAWA ametokea tena 'PIPOZ DUNDA' ameanza kushughulika nae....

jazba, kutofikiri mbali kwetu vitatupeleka pabaya.
 
Inavyoelekea leo CHADEMA walitaka tupa bomu kama walilotupa Mwembe Yanga , "THE LIST OF SHAME". Nadhani litakuwa la DOWANS! Kwasababu najiuliza kwanini leo polisi watumie nguvu zote na kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA?

Vyovyote vile CCM wamefungua chapter mpya kabisaa ambayo Watanzania hatujaizowea, SIASA ZA VURUGU! Na Dr. Slaa ameshasema sasa CHADEMA wasilaumiwe kwa lolote litakalotokea kwani uonevu umezidi! Tumechoka! Kura zichakachuliwe, Dowans na ufisadi uzidi, umeya tunyimwe na kupigwa tupigwe ndani ya nchi yetu na mafisadi wa CCM!! Haya ni mapambano kati ya mafisadi wa CCM na Wanyonge wa Tanzania!
 
:embarrassed:

My goodness....this cant be........Kikwete you have proven failure beyond doubt

This is not the right way of handling things. A real dictetorian way of governing. Tired of listening peoples voice, your a real infrahuman


Am sure this man Kikwete is suffering from Hypnosis

Poleni wana Arusha, lakini damu yenu ya haki italipa one day Yes!!
 
Dr Slaa and Colleagues is a really nightmare to the ruling class.
CCM kama wana ubavu wa kustahimili pressure ya umma na waendelee kuwaweka ndani kama nchi haijalipuka.

Kipindi cha EPA Said Mwema-IGP alisema kuwakamata mafisadi nchi yaweza kulipuka, naamini hajui ni kipi kinaweza lipua nchi.
 
Kweli kabisa kaka, huyu jamaa akiambiwa ''tulia hivyo hivyo nikusindilie'' atakaa. Je ana rational brain? tafakari plse
 
kikwete kama Mungu yupo hautaonja mauti bila kuonja machungu ya vilio vya watanzania
 
Halisi.... Nataka kuafikiana na wewe wanamapinduzi ya kale kaeni macho huu unaweza kuwa mpango kinyume... mkidhani wanawakandamiza CHADEMA... kumbe wanachochea vurugu muonekana hamnazo... mpaka JK anapoingilia kati tayari mambo yashaenda mrama... ila critically thinking... ni vema akawa chini ya ulinzi... kwa usalama wake ... mwanamapinduzi mpya wanamjua.... UKIPINDUWA UTAPINDULIWA YAKHEEEE....
 
napenda kuwakumbusha tena Serikali yoyote ile iwayo HAITISHWI bali HUTISHA.
Mbona unasahau upesi namna hiyo, hii serikali ya Kikwete si kila mara inatishwa na wezi/mafisadi ? Kumbuka kauli za Hosea na Pinda - Mafisadi wakikamatwa nchi itayumba. Labda unataka kututhibitishia kuwa kiongozi Mkuu wa serikali na hao wezi na wahujumu uchumi lao moja.
 
huo ni mwanzo wa safari wandugu... ukishakuwa mpinzani basi hicho ni kitu cha kawaida. Kuna watu wameshauawa nchi hii na kutiwa kizuizini kwa muda mrefu sababu ya siasa, kuna watu wamelemaa na wengine walivunjwa mikono, sababu ni wapinzani. leo hii watu wamesahau yote hayo.... Hii ni kwa sababu ya ukosefu wa kumbukumbu tulionao tunalichukulia kwamba ni suala kubwa sana.. je mwadhani ni halali kukiuka amri ya serikali hata kama ni ovu na hatua isichukuliwe? lazima tukubali kuheshimu utawala na watawala wake huku tukitumia busara za ziada kutatua matatizo tuliyonayo. napenda kuwakumbusha tena Serikali yoyote ile iwayo HAITISHWI bali HUTISHA. Je ikiwa hivyo ndivyo ni wangapi wanabaki nyuma ya Laptop zao kuwahamasisha wapumbavu wachache wafanye ujinga? Na mwisho wa siku wanaumia waliomo na wasiokuwamo. Kesho mtu aende hospitali ya Mawezi na atajionea majeruhi wangapi watakuwa na pingu! (hali yenyewe ndio hii, kisha mtiwe vilema na hali wenye akili zao wanatanua na kusalimiana na hao mnaowaona kuwa ni adui zao!) Siasa za nchi hii.....:embarrassed:

Yaania mkulu kumbe mwoga hivyo!! Hiyo ndio tishia nyau ya ccm muda wote kuwaogopesha watu kumwaga damu. Yaania unatiwa dole ukitaka kureact wanakuambia ahahhh! angalia utamwaga damu, basi na wewe unatulia tu. Kwani kufa si kila mtu atakufa! yanini kuishi muda mrefu kwa shida kwa kuwaachia watu wachache wale mali ya watu wengi? Haitakiwa kutawala bali kuongoza.
 
Inavyoelekea leo CHADEMA walitaka tupa bomu kama walilotupa Mwembe Yanga , "THE LIST OF SHAME". Nadhani litakuwa la DOWANS! Kwasababu najiuliza kwanini leo polisi watumie nguvu zote na kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA?

Vyovyote vile CCM wamefungua chapter mpya kabisaa ambayo Watanzania hatujaizowea, SIASA ZA VURUGU! Na Dr. Slaa ameshasema sasa CHADEMA wasilaumiwe kwa lolote litakalotokea kwani uonevu umezidi! Tumechoka! Kura zichakachuliwe, Dowans na ufisadi uzidi, umeya tunyimwe na kupigwa tupigwe ndani ya nchi yetu na mafisadi wa CCM!! Haya ni mapambano kati ya mafisadi wa CCM na Wanyonge wa Tanzania!

Labda kama umeanza kufuatilia siasa 2006, hii hali sio mpya na haijavunja bado record ya matukio makubwa zaidi yaliyopata kutokea, na Chadema wanawajibika pia kwa upotevu wa mali za raia wema na usumbufu usio wa lazima uliotokea leo.
 
Poleni sana kwa wale walio athirika moja kwa moja na madhara ya vurugu za Arusha na wale walio athiriwa kwa namna moja au nyingine.
Mungu awape nguvu na uvumilivu
,yote yana mwisho..na mwisho wake utakuwa kwa faida yetu sote hata wale ambao leo hawa waungi mkono leo.
 
Slaa ni rais wetu aliyemioyoni mwetu. JK ni rais wa Tume yake. Mimi natabiri kikwete hamalizi hii awamu maana hata hao polisi anaowaagiza watavumilia tu kutokutenda haki na baadae watakataa kufumbia macho ukweli halisi na ndipo itakuwa tamati yake. Halafu na nyie FFU yaani mnakubali kupoteza amani ya nchi hii just kwa sababu ya mtu mmoja. Jaribuni kuona mbali kwa masilahi ya taifa na si masilahi ya JK na CCM huku amani inapotea na RAIA tayari wameshapoteza imani na CCM. IGP tafadhalini someni majira ya nyakati na sio kutii amri ktk kila jambo.
NAWASILISHA na rais wangu ni Dr. Slaa.
 
:embarrassed::eek:
Hapa ndipo Makamba na Mkapa wanaponiacha hoi...kumbe kichugu na kele za Chura zinatisha mpaka wanamuwinda President wa Watanzaniaa....


Huu ni mwanzo wa mwanzo wa ukombozi....
 
Hii ndiyo gharama ya kudai haki.
Nawapa Pole sana Dr.slaa,viongozi wote waliokamatwa,wanachama na wapenzi wa Chadema walioumia kwenye Maandamano.
Tusife moyo kwa maana hata bwana Yesu alisulubiwa kwa yasiyomhusu.
IGP Mwema damu ya wana Arusha iko mikononi mwako wewe na Bosi wako JK-Na huko mbeleni pengine Moreno Ocampo aweza kuwa mgeni wenu!
 
Mi thithemi kithu. Nathubiri kuona majenethaa thiku thi nyingi tandhania. Ebu tuthubiri thuonenani athakuwa mwamba kathi ya Chadema na mwema. Haki haikuwahi kupathikana bure bure. Haki inakuja na maumivu. Haki inapathikana kwa damu.....pipodhi pawaaaaaaaa

MF ulishaaga JF.
 
Back
Top Bottom