Ebu tuondolee upuuzi wako wa kiyuvisisiemu hapaHali hii haiwezi kuvumilika. Raia watanzania wanathamani kubwa sana. Si busara kwa viongozi wa siasa kuwashawishi raia kuvunja amri za serikali iliyo madarakani kisheria. Watanzania tuwe MAKINI na viongozi wachanga wasio na huruma na raia. Si kila kitu POLISI wanakosea. Kuna mengine watu wanataka wenyewe hasa kama busara haitumiki katika maamuzi.
Hali hii haiwezi kuvumilika. Raia watanzania wanathamani kubwa sana. Si busara kwa viongozi wa siasa kuwashawishi raia kuvunja amri za serikali iliyo madarakani kisheria. Watanzania tuwe MAKINI na viongozi wachanga wasio na huruma na raia. Si kila kitu POLISI wanakosea. Kuna mengine watu wanataka wenyewe hasa kama busara haitumiki katika maamuzi.
Hali hii haiwezi kuvumilika. Raia watanzania wanathamani kubwa sana. Si busara kwa viongozi wa siasa kuwashawishi raia kuvunja amri za serikali iliyo madarakani kisheria. Watanzania tuwe MAKINI na viongozi wachanga wasio na huruma na raia. Si kila kitu POLISI wanakosea. Kuna mengine watu wanataka wenyewe hasa kama busara haitumiki katika maamuzi.
tatizo lenu mnafikiri wachaga na wamasai wa arusha wanawakilisha tanzania nzima! fundisho liwe kwenu nyinyi mkome kulazimisha fujo ebo!
chadema imemwagwa damu...? damu ya wanachadema iliyosababishwa na jeshi la polisi.... polisi wameua watanzania wasio na hatia in the name of politics
Nasikitika
Mud! Mmeanza kuruhusu hata mandondocha kutoa maoni? kweli hili bwabwa/punga
Mkiambiwa kweli mnaanza matusi, sasa kama si watu wa fujo na uvunjifu wa amani ni nini?Huyu jamaa shoga hafai atolewe kabisa JF
Haya sasa kuna kikao kufikiria kuifuta Chadema au kuisimamisha kwa muda usiopungua miaka mitano au nane !Kifutwe tu,wanataka kutuletea Rwanda hapa ?Ustaarabu umewashinda !!:confused2:
chadema iandae maandamano ya nchi nzima hata kama kila mkoa utafanya kwa wakati wake lengo ni kutaka kuonyesha hawa wanaotaka kuangamizwa hii nchi kuwa hakuna anayependezwa na uozo wao na hakuna wanachokifanya, huu ni uongozi wa kuangamiza nchi na si kujenga nchi.
yaani umeongea kama mwana ccm kabisa...Chadema ndio waliosababisha damu kumwagika, waliambiwa wasiandamane! na dola ikisema ni sheria. Halafu unataka kumlaumu nani?
ndugu zako wewe si wale mafisadi wenzio? definitely watakuwa hawakuandamana.unaposema ndugu zetu unamaanisha nini? mi ndugu zangu hawakuandamana kwa hiyo hawajafa!