Kenya2022 Maandamano ya "Bila chakula hatupigi kura" Kenya!

Kenya2022 Maandamano ya "Bila chakula hatupigi kura" Kenya!

Kenya 2022 General Election

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
8,247
Reaction score
12,766
"..waache wajiweke lockdown sisi tunenda shambani kulima, njaa itawatoa huko walipojifungia...." JPM (RIP)

Hakika unabii wake umetima na kamwe hakuna neno lake litakalopita bila kutimia! Wakenya wameanza kuonja machungu ya uviko baada ya bei unga kuzidi kupaa ambapo majuzi walitishia kususia uchaguzi mkuu ujao hadi bei ya unga ipunguzwe!

33.jpg

 
Daa...Mungu awasaidie majirani zetu. Tutawasaidia msihofu njooni Kwa upole tutawapa msosi.Daa...inauma sana kuomba chakula Kwa jirani
 
Kenya miaka yote huwa na shida ya mahindi na vyakula
 
Kenya miaka yote huwa na shida ya mahindi na vyakula
 
Juzi juzi so waliondoa kodi zote kwe mahindi? Imekuwa je bei inazifi kupaa?
 
Back
Top Bottom