Xuma JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 683 Reaction score 197 Oct 15, 2012 #1 Kutana na maandamano ya wanafunzi huko Bogota Colombia kupinga mabadiliko ya mfumo wa elimu ya juu!!
Kutana na maandamano ya wanafunzi huko Bogota Colombia kupinga mabadiliko ya mfumo wa elimu ya juu!!
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,987 Oct 15, 2012 #2 kweli apo ni amani tu!
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,314 Oct 15, 2012 #3 Hawa wanafunzi au bange? Mbona kama wanataka kuwabaka police!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,352 Reaction score 111,633 Oct 15, 2012 #4 Bongo umkumbatie polisi hivyo, si ndio unampa mwanya wa kukurushia kitu kizito...
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Oct 15, 2012 #5 watu8 said: Bongo umkumbatie polisi hivyo, si ndio unampa mwanya wa kukurushia kitu kizito... Click to expand... hilo neno linamaanisha boooomm duuu lugha inakua sana!
watu8 said: Bongo umkumbatie polisi hivyo, si ndio unampa mwanya wa kukurushia kitu kizito... Click to expand... hilo neno linamaanisha boooomm duuu lugha inakua sana!
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 604 Oct 15, 2012 #6 watu8 said: Bongo umkumbatie polisi hivyo, si ndio unampa mwanya wa kukurushia kitu kizito... Click to expand... na pengine akusachi chezeiya wezi wa mafuta bandarini.
watu8 said: Bongo umkumbatie polisi hivyo, si ndio unampa mwanya wa kukurushia kitu kizito... Click to expand... na pengine akusachi chezeiya wezi wa mafuta bandarini.