M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 16,991 Reaction score 63,001 Nov 19, 2021 Thread starter #121 ng'wanamangilingili said: Si kwa nchi hii Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app Click to expand... wewe binafsi uko tayari?
ng'wanamangilingili said: Si kwa nchi hii Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app Click to expand... wewe binafsi uko tayari?
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,846 Nov 20, 2021 #122 barafuyamoto said: Bavicha na chadema ni laana ktk hii nchi. Vitokomezwe kama ambavyo vinatokomezwa sasa Click to expand... Kwani ndio walosababisha umeme na maji kukosekana nchini?
barafuyamoto said: Bavicha na chadema ni laana ktk hii nchi. Vitokomezwe kama ambavyo vinatokomezwa sasa Click to expand... Kwani ndio walosababisha umeme na maji kukosekana nchini?
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,846 Nov 20, 2021 #123 Asilimia inayofikiwa na maji safi na salama yenyewe ndogo kama nini Mwaka juzi ilikuwa 9 % ya population, Halafu hata hiyo asilimia ndogo sana uhakika wa kupata regular supply ya maji through out the year hakuna [emoji848][emoji848] Inashangaza na kusikitisha sana
Asilimia inayofikiwa na maji safi na salama yenyewe ndogo kama nini Mwaka juzi ilikuwa 9 % ya population, Halafu hata hiyo asilimia ndogo sana uhakika wa kupata regular supply ya maji through out the year hakuna [emoji848][emoji848] Inashangaza na kusikitisha sana