Maandamano makubwa Songea!

Maandamano makubwa Songea!

Picha ya huyo kijana aliyepigwa risasi imenihuzunisha sana kwa kweli, kwa nini askari wana react on reaction, wangewajibika kama inavyostahili mauaji hayo yasingetokea na kijana asingepoteza maisha, Mungu ibariki Tz
 
kumekuwa na vita kubwa ya polisi na askari katika mji wa songea baada ya wananchi kupamba moto na kushindwa kuzuia hisia zao kwa kile wanachokisema polisi hawatoi ushirikiano kwa mauaji yanayoendelea katika manicipal ya songea. taarifa ambazo ninazo wananchi wawili wamepigwa risasi na polisi na wananchi wamempiga mawe polisi ambayo yupo katika hali mbaya.

wapi tunakwenda?

polisi na askari?
 
Jk ana bahati mbaya kila akiondoka mitaani kinanuka.
Ifike mahara polisi wawe wanatumia akili.
 
Hali ni tete kuna hiace katika harakati za kukimbia imetumbukia kwenye korongo na abiria ila hakuna aliefariki ni majeruhi tu.
Balaah na RPC anazidi kutema pumba ati hao wanaouana ni watu na wapenzi wao.

hizo ni zaidi ya pumba, akili za kimwanaasha hizi
 
taarifa nilizo zipata kwa mtu aliye eneo la tukio ni kwamba, ofisi ya mkoa ccm imepigwa mawe na kuvujwa, kituo kimoja cha polisi, hajataja ni kipi kimesha vunjwa, barabara za kutoka na kuingia mji wa songea zimefungwa na raia, polisi wamesha zidiwa nguvu na waandamanaji, kwa sasa nao wanapata mkongoto wa mawe,
ntaendelea kuwajuza.
 
Hii nchi italipuka kama mzaha! Waendelee kusali Dar iendelee kuwa tulivu!
 
kuchoma kituo cha police si ujanja, maana hasara na kwetu sis walipa kodi. Nasisitiza maandamano si kufanya uhalifu otherwise hayatakuwa na credibility

Ndugu kwa hiyo

(a) kuchoma kituo cha police si ujanja = Lakini kuua Raia wasio na hatia ni Ujanja.

(b) maana hasara na kwetu sis walipa kodi = lakini kuua Raia wasio na hatia ni FAIDA KWETU WALIPA KODI

(C) Nasisitiza maandamano si kufanya uhalifu otherwise hayatakuwa na credibility = Kuua Raia wasio na hatia kuna Credibility hapo.


Yaani ndugu yangu sipati 😛hoto:😛hoto:😛hoto: hii.

Sijui na wewe ni mmoja wa hao FFU hapo Songea. Kama ndivyo waambie wenzio wanachofanya si jambo zuri. Elewa kuwa unaowaumiza pia wapo ndugu zako. Utajisikiaje ukirudi nyumbani jioni ukaambiwa baba / kaka/ / dada yako amekufa au kajeruhiwa katika fujo hizo?

TAFAKARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
There's no mercy to our country mbona hatupati suluhu ha2pati,mungu walaze mahala pema walio kufa wakitetea haki zao.
 
taarifa nilizo zipata kwa mtu aliye eneo la tukio ni kwamba, ofisi ya mkoa ccm imepigwa mawe na kuvujwa, kituo kimoja cha polisi, hajataja ni kipi kimesha vunjwa, barabara za kutoka na kuingia mji wa songea zimefungwa na raia, polisi wamesha zidiwa nguvu na waandamanaji, kwa sasa nao wanapata mkongoto wa mawe,
ntaendelea kuwajuza.

safi sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Watandikeni hao majambazi waliovaa sare za serikali!!!!!!!! Na kujifanya wao ni polisi kumbe ni majambazi.


Mizambwa
inaniuma sana!!!!
 
PICT0020-3.jpg



PICT0020-4.jpg


PICT0020-5.jpg


Haya ndiyo yanayojiri Songea kwa sasa
 
Ahsante kwa taarifa, kwakweli ni masikitiko makubwa kwa wananchi pamoja na hao askari waliopoteza maisha yao.

Hili suala la polisi kutumia mabavu kila mara kwa raia wasiokuwa hata na jiwe ni upumbavu mkubwa sana, na sijui kama haya ndiyo mafundisho wanayokwenda kupata chuoni CCP kwa muda wote wa mwaka mmoja.

Kama wananchi wameandamana hadi kwa mkuu wa mkoa na wanachotaka ni mkuu wa mkoa atoke kuwasikiliza, tatizo lilikuwa wapi hadi FFU wanaamua kupiga risasi za moto hadi kuua raia? kama wameshindwa kuwalinda raia hadi wanauawa kila siku bila msaada wao, huo ubabe wa kuwaua raia wema unatoka wapi? mbona wameshindwa kupambana na hao wauaji?

Kumbe Dr. Mwakyembe hakukosea kwamba jeshi la polisi la Tanzania, ndilo jeshi la polisi pekee duniani linalosubiri kuletewa ushahidi mezani kama vile mahakama zinavyosubiri kuletewa ushahidi ili zifanye kazi. Na hii tabia ya polisi kuwaonea wananchi ipo siku watachoka na wataamua kukabiliana nao bila kujali risasi za moto ama mabomu, ikizuka majimaji ya pili huko wasije kuwalaumu wananchi.
Tujuze mkuu,vp mapambano hapo songea yamefikia wapi?????
 
Hali ni tete kuna hiace katika harakati za kukimbia imetumbukia kwenye korongo na abiria ila hakuna aliefariki ni majeruhi tu.
Balaah na RPC anazidi kutema pumba ati hao wanaouana ni watu na wapenzi wao.
Haya madhara ya kuwekana katika kila sehemu kwa interests binafsi! Huyu jamaa hajui analofanya wala kuongea. RPC hafai kabisa.
 
Picha kwa hisani ya blogu ya Songeayetu: Songea Yetu

Dimbwo la damu na Polisi wakifyatua risasi
PICT0024-1.jpg
PICT0020.jpg



PICT0020-3.jpg
PICT0020-6.jpg


Moja ya waliouawa na polisi na Mwandishi wa TBC akijihami
PICT0024-4.jpg
PICT0021-1.jpg


PICT0020.jpg
PICT0020-4.jpg
 
Back
Top Bottom