Umeqajuaje kama ni UVCCM wewe kasuku?
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.
Ninacho jiuliza ni kauli ya vitisho tena ya jinai ya kusema kuwa Dr akikanyaga Mwandiga atauwawa tena ikitolewa mbele ya polisi halafu hakuna zinachukuliwa?!!!!
na je angesema vijana wa BAVICHA ungeuliza swal hilo we kima?tumia ubongo wa kichwani na sio mata*ko. UVCCM wanafahamika kwa vurugu na fujo zisizo na tija hata wangevaa mavazi ya manesi.
Umejuaje kama ni UVCCM wewe kasuku?
Baadhi ni wale waliokiri kwenye mikutano ya juzi wakiwa wamelewa chakari.
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.
Ninacho jiuliza ni kauli ya vitisho tena ya jinai ya kusema kuwa Dr akikanyaga Mwandiga atauwawa tena ikitolewa mbele ya polisi halafu hakuna zinachukuliwa?!!!!
mimi kasuku naingia nyumba zote, hivyo wakati maandamano yanaratibiwa huko Lumumba nilikuwepo, kama ilivyo kawaida ya kasuku sikosi neon la kuongea, RPC amepewa ujumbe na kukaa kimya,
mkuu na hayo maandamano hayana kibali cha polisi ila yanaashiria fujo na yameruhusiwa kama ilivyo ada ingekuwa ni yale ya upande wa pili tena ya amani bishaka kuna viongozi wa CHADEMA wangefuatwa hadi na chopa za pilisi, loh!Poor observation
basi kàma polisi wanabariki hayo mambo,na àrusha wakisema ZZK asifike na àkifika wanamuua kwa sababu amewasaliti itakuaje?
mkuu na hayo maandamano hayana kibali cha polisi ila yanaashiria fujo na yameruhusiwa kama ilivyo ada ingekuwa ni yale ya upande wa pili tena ya amani bishaka kuna viongozi wa CHADEMA wangefuatwa hadi na chopa za pilisi, loh!