Maandamano makubwa MWANDIGA kumpinga Dr.Slaa yafanyika mbele ya RPC

zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,825
8,611
Leo yamefanyika maandamano makubwa kumpinga Dr.Slaa huko Kigoma, waandamanaji hao walimuonya RPC kuwa Dr.Slaa akikanyaga kwao watamuua, wakitaja sababu za kumuua dr. slaa waandamanaji hao wakiongozwa na vijana wa UVCCM waliojivika ngozi ya makamanda wa CHADEMA walisema ni kwasababu Dr.Slaa aliua ndoto za kijana wao Zitto hivyo nayeye lazima wamuue, habari zaidi zitawajia hivi punde pamoja na picha.
 
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.

Ninacho jiuliza ni kauli ya vitisho tena ya jinai ya kusema kuwa Dr akikanyaga Mwandiga atauwawa tena ikitolewa mbele ya polisi halafu hakuna zinachukuliwa?!!!!
 
Umeqajuaje kama ni UVCCM wewe kasuku?

na je angesema vijana wa BAVICHA ungeuliza swal hilo we kima?tumia ubongo wa kichwani na sio mata*ko. UVCCM wanafahamika kwa vurugu na fujo zisizo na tija hata wangevaa mavazi ya manesi.
 
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.

Ninacho jiuliza ni kauli ya vitisho tena ya jinai ya kusema kuwa Dr akikanyaga Mwandiga atauwawa tena ikitolewa mbele ya polisi halafu hakuna zinachukuliwa?!!!!

we YAHAYA wewe
 
Umejuaje kama ni UVCCM wewe kasuku?
mimi kasuku naingia nyumba zote, hivyo wakati maandamano yanaratibiwa huko Lumumba nilikuwepo, kama ilivyo kawaida ya kasuku sikosi neon la kuongea, RPC amepewa ujumbe na kukaa kimya,
 
basi kàma polisi wanabariki hayo mambo,na àrusha wakisema ZZK asifike na àkifika wanamuua kwa sababu amewasaliti itakuaje?
 
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.

Ninacho jiuliza ni kauli ya vitisho tena ya jinai ya kusema kuwa Dr akikanyaga Mwandiga atauwawa tena ikitolewa mbele ya polisi halafu hakuna zinachukuliwa?!!!!

Yaani Zitto amefikia hatua ya kutaka kuua viongozi wake wa Chama!!!

Kama yuko serious atumie ile mbinu ya "hata panya hawezi kupona" ambayo sio kinyume cha sheria kwa kuwa serikali na sheria zetu hazitambui uchawi...
 
mimi kasuku naingia nyumba zote, hivyo wakati maandamano yanaratibiwa huko Lumumba nilikuwepo, kama ilivyo kawaida ya kasuku sikosi neon la kuongea, RPC amepewa ujumbe na kukaa kimya,

RPC hakurupuki ngoja wamuue kwanza atachukua hatua,kiherehere chake Dr Slaa kwenda kigoma kafuata mauti
 
Poor observation
mkuu na hayo maandamano hayana kibali cha polisi ila yanaashiria fujo na yameruhusiwa kama ilivyo ada ingekuwa ni yale ya upande wa pili tena ya amani bishaka kuna viongozi wa CHADEMA wangefuatwa hadi na chopa za pilisi, loh!
 
Wamuue Dr....? hahahahahaha hao polisi watamlipa mzima mzima kama alivyokuwa na dr ni kamanda alishasema wakimuua tumuache na tusongeshe majeshi mbele
 
mkuu na hayo maandamano hayana kibali cha polisi ila yanaashiria fujo na yameruhusiwa kama ilivyo ada ingekuwa ni yale ya upande wa pili tena ya amani bishaka kuna viongozi wa CHADEMA wangefuatwa hadi na chopa za pilisi, loh!

Kaka lakini huwa chadema haiwataki Polisi leo inaomba msaada polisi! Kweli kuishi kwingi kuona mengi! Mimi nashangaa Tanzania ina mikoa 26 inakuaje Dr Slaa aende Kigoma kama sio kujitakia uchuro
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom