Maandamano makubwa dhidi ya ugaidi jijini paris

Status
Not open for further replies.
Ukweli unajua wewe mwanaharam? Kigagula!

Ikiwa mnalumbana kwa hoja na ukiona mmoja anaanza matusi ujuwe ameshindwa kwa hoja.

Punguza ghadhab, sisi katika mafundisho yetu tunafundishwa kuwa Wakristo ni watu wema sana, ushahidi huu hapa:

Qur'an 5:82 Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi. ***

Manasara = Wakristo.

Sasa wewe unapoanza matusi unanshangaza ni Mkristo wa aina gani wewe?
 
Kakende njoo huku kuns kibibi kizee faiza kinaleta fujo..
 
Last edited by a moderator:
Hapa duniani kuna unafiki mkubwa sana hususan kwenye hizi nchi za magharibi.

Mwaka jana Disemba 16 huko Peshawar, Pakistan, watu 145 huku watoto wa shule wakiwa 132 kati yao waliuwawa na magaidi wa Taliban.

Ndiyo, kulikuwepo na kauli za kulaani hayo mauaji lakini kwa nini hakukuwepo mkusanyiko na mjumuiko wa hawa viongozi wa kimataifa?

Kwa nini hakukuwa na maandamano makubwa kupinga huo unyama wa Taliban dhidi ya watoto wa shule?

Leo wameuliwa wachora vikatuni vya uchokozi na makusudi dhidi ya dini ya watu na ghafla bin vuu kuna mshikamano wa kupinga matendo ya kigaidi na maandamano juu?

Ina maana maisha ya watu 17 yana thamani zaidi kuliko maisha 132 ya watoto wa shule tena ambao walikuwa hawana makosa yoyote?

Kuna mambo hapa duniani huwa hata hayaeleweki kabisa!!
 
Friendly fire. Katika mapambano imo hiyo.

Unaelewa maana ya friendly fire?
Ingekuwa Said Kuouchi kamtwanga risasi Cherif Kuouchi kwenye hekaheka za juzi ndio ungeeita friendly fire.

Hapa naona vijana ambao walikuwa watoto yatima wamepewa fedha za kujikimu kimaisha na kuwa brainwashed/radicalised.
 
Kakende njoo huku kuns kibibi kizee faiza kinaleta fujo..
 
Last edited by a moderator:
Unajua karibia dunia itawachoka waislam na uchiz wao wa ugaidi.IPO SIKU ITAIBUKA VITA YA DUNIA KALI YA UDINI.
 
Hapa duniani kuna unafiki mkubwa sana hususan kwenye hizi nchi za magharibi.

Mwaka jana Disemba 16 huko Peshawar, Pakistan watu 145 huku watoto wa shule wakiwa 132 kati yao waliuwawa na magaidi wa Taliban.

Ndiyo, kulikuwepo na kauli za kulaani hayo mauaji lakini kwa nini hakukuwepo mkusanyiko na mjumuiko wa hawa viongozi wa kimataifa?

Kwa nini hakukuwa na maandamano makubwa kupinga huo unyama wa Taliban dhidi ya watoto wa shule?

Leo wameuliwa wachora vikatuni vya uchokozi na makusudi dhidi ya dini ya watu na ghafla bin vuu kuna mshikamano wa kupinga matendo ya kigaidi na maandamano juu?

Ina maana maisha ya watu 17 yana thamani zaidi kuliko maisha 132 ya watoto wa shule tena ambao walikuwa hawana makosa yoyote?

Kuna mambo hapa duniani huwa hata hayaeleweki kabisa!!

Inategemeana na view ya viongozi wa nchi husika.
Juzi Francois Hollande alihamasisha sana wananchi kujitokeza akiahidi yeye atakuwa mstari wa mbele.

Viongozi wengi wa kidunia wamejumuika....sina uhakika kama huyo wa pakistan alikuwako.

Kama Pakistani iliweza kumuhifadhi gaidi Osama unategemea wazungu wawe wanafiki kusympathise na hao wapakistan?
 
Hapa duniani kuna unafiki mkubwa sana hususan kwenye hizi nchi za magharibi.

Mwaka jana Disemba 16 huko Peshawar, Pakistan, watu 145 huku watoto wa shule wakiwa 132 kati yao waliuwawa na magaidi wa Taliban.

Ndiyo, kulikuwepo na kauli za kulaani hayo mauaji lakini kwa nini hakukuwepo mkusanyiko na mjumuiko wa hawa viongozi wa kimataifa?

Kwa nini hakukuwa na maandamano makubwa kupinga huo unyama wa Taliban dhidi ya watoto wa shule?

Leo wameuliwa wachora vikatuni vya uchokozi na makusudi dhidi ya dini ya watu na ghafla bin vuu kuna mshikamano wa kupinga matendo ya kigaidi na maandamano juu?

Ina maana maisha ya watu 17 yana thamani zaidi kuliko maisha 132 ya watoto wa shule tena ambao walikuwa hawana makosa yoyote?

Kuna mambo hapa duniani huwa hata hayaeleweki kabisa!!

Mkuu this is what is called Western Double standard

Watoto waliokufa kwa Mashambulizi ya NATO katika maika 20 iliyopita ni Balaa

Wachora katuni acha wafe tu....Dunia imejaa unafiki mtupu

Europeans ndo binadamu wanaofaa kuishi peke yao

Lakini sidhani kama Cartoonist watachora provocative Cartoons hivi karibuni kuhusu waislamu

Jamaa wamewapa Sucker punch
 
Kuna viongozi wanahifadhi magaidi na kuwalinda karibu na vituo vya kijeshi.

Kuna viongozi wanaamini katika tamaduni mbali mbali kuishi kwa uhuru kwa pamoja

Hata si kweli...

ukizungumzia International politics uwe realistic

hao magaidi unaosema akina osama na Wenzake mwaka 1985 wakati wanapewa silaha na USA kumtoa USSR afghanistan walikuwa ni freedom fighters....

So ni issue ya double standard kama dunia nzima ilivyo kinafiki nafiki
 
Mkuu this is what is called Western Double standard

Watoto waliokufa kwa Mashambulizi ya NATO katika maika 20 iliyopita ni Balaa

Wachora katuni acha wafe tu....Dunia imejaa unafiki mtupu

Europeans ndo binadamu wanaofaa kuishi peke yao

Lakini sidhani kama Cartoonist watachora provocative Cartoons hivi karibuni kuhusu waislamu

Jamaa wamewapa Sucker punch

Kabla ya tukio la juzi mimi au wewe tulikua hatujui kuhusu Charlie Hebdo lakini sasa huu ndio msemo mkuu duniani kwa sasa.

Atachorwa mtume,papa,rabbi n.k
by the way ni nani mwenye uhakika ya kuwa aliyechorwa ni mtume?
 
Hata si kweli...

ukizungumzia International politics uwe realistic

hao magaidi unaosema akina osama na Wenzake mwaka 1985 wakati wanapewa silaha na USA kumtoa USSR afghanistan walikuwa ni freedom fighters....

So ni issue ya double standard kama dunia nzima ilivyo kinafiki nafiki

Freedom fighters wanaweza kubadilika na kuwa magaidi hilo si jambo la kushangaza.
 
Mwenye kujua naomba maana halisi ya neno GAIDI.

Mkuu maana hasa ya hilo neno wanalijua wenyewe wazungu,na lina sihi kwa waislamu na waafrika tu maana hata Mandela naye walimwita Gaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom