Kinachofanyika West Africa killing peoples via EBOLA Virus siyo ugaidi? Mauaji ya Waafrika via HIV nk siyo Ugaidi? Mauaji ya Raia wasiokuwa na Hatia Iraq, Syria, Libya, Gaza, Ukrain, Haiti siyo Ugaidi? ... Ugaidi Tafsiri yake ni nini?.... USA na EU wanahaki ya Kuua?
Miafrika kwa uongo bana unajifanya msemaji wa Obama.Inawezekana Obama hajahudhuria kutokana na idadi ya walinzi anaohitaji.
Kabla ya tukio la juzi mimi au wewe tulikua hatujui kuhusu Charlie Hebdo lakini sasa huu ndio msemo mkuu duniani kwa sasa.
Atachorwa mtume,papa,rabbi n.k
by the way ni nani mwenye uhakika ya kuwa aliyechorwa ni mtume?
Unajua karibia dunia itawachoka waislam na uchiz wao wa ugaidi.IPO SIKU ITAIBUKA VITA YA DUNIA KALI YA UDINI.
Freedom fighters wanaweza kubadilika na kuwa magaidi hilo si jambo la kushangaza.
Dini ya ajabu sana,kwamba chochote alichokisema mtume hakitakiwi kuhojiwa,kunywa mikojo hata kama sio nzuri kiafya hutakiwi kuhoji maana utauwawa.
Kuoa watoto wa miaka 6 hutakiwi kuhoji,jua kuzama kwenye tope hutakiwi kuhoji.
Uislam dini ya ajabu sana,huyo allah na mtume sijui akili yao ikoje,nadhani vichwa vyao ni vitupu.
Ahsante kaka aimeisomaa kimoyomoyo
Hata Mandela wakati yupo jela alikuwa yumo kwenye orodha ya Magaidi huko Marekani, sasa wewe unakubali Mandela alikuwa gaidi?Freedom fighters wanaweza kubadilika na kuwa magaidi hilo si jambo la kushangaza.
Quran 9:5 ua kila asie muislam,chukua mateka,tesa,chinja,ila wakikubali kua waislam wasamehe waende zao.
Huyo ni allah anaagiza kwa mtume wa mwisho.
Hii dunia imejaa unafiki mwingi sana mwaka 2011 July, Anders Breivik aliuawa watu 77 na majeruhi 319 most were children.
Kulikuwa hakuna maandamano yeyote wala huyu jamaa hakuitwa Gaidi aliitwa muhuni.
Leo hii wachora katuni 12 wa Charlie Hebdo kuuliwa kwa uchokozi wao eti maandamano makubwa kuna mapunguani nayo eti yanasikia uchungu hao wazungu waliandamana balozi za Kenya na Tanzania zilivyoshambuliwa.
vita ijayo ya dunia itakua ni ya dini na ndivo wamedizain hivyo na ili iwepo lazima dini kubwa mbili zitengenezewe uhasama ili wapigane,hao wachora katuni ni maajenti tu na wako na kazi maalum.wanajua kuwa waislaamu wako sensitive kwa ishu ya kumchora mtume na ndo wanalenga hapo hapo.hizo katuni ziko offensive sana kuna nimeziona siwezi hata kuweka hapa
Quran 9:5 ua kila asie muislam,chukua mateka,tesa,chinja,ila wakikubali kua waislam wasamehe waende zao.
Huyo ni allah anaagiza kwa mtume wa mwisho.
Haya tukubaliane hawakuandama sababu Pakistan walimuhifadhi Osama, Tanzania na Kenya nazo?Inategemeana na view ya viongozi wa nchi husika.
Juzi Francois Hollande alihamasisha sana wananchi kujitokeza akiahidi yeye atakuwa mstari wa mbele.
Viongozi wengi wa kidunia wamejumuika....sina uhakika kama huyo wa pakistan alikuwako.
Kama Pakistani iliweza kumuhifadhi gaidi Osama unategemea wazungu wawe wanafiki kusympathise na hao wapakistan?
Ni ujinga ulioje kutolea ushahidi jambo usilolijua. Be honest jiulize unaelewa hiyo aya imekusudiawa nani?kwa sbb gani?katika mazngira gani? au umesikia tu watu wanaquote na wewe ukaweka?
Wamejiunga wapi bana hivi leo ndiyo wana uchungu sana na watu waliokufa.Kama intention ya kina Kouach brothers na Amedy ilikuwa ni kutishia jamii basi wamegonga mwamba kwani viongozi wa mataifa wamejiunga kwenye maandamano in a very informal fashion.
estimated number ya waandamanji ni karibu au zaidi ya milioni moja.
Inawezekana Obama hajahudhuria kutokana na idadi ya walinzi anaohitaji.
Nearly 1.5 million multnationals wamejiunga dhidi ya wachache.
Kama ni wachora katuni basi idadi yao imeongezeka leo!