chimpumu
Member
- Jul 24, 2014
- 52
- 28
Hutapenda ukweli huu lakini hiyo ardhi ni ya wayahudi.waingereza katika ukoloni wao ndio walibuni taifa la palestina
Kwa hiyo njia sahihi ya kudai ardhi yao ni kuua wanaokalia ardhi hiyo? Huna lolote Makafiri nyinyi ni ndugu, Amerika wanaua watu wengi bila hatia nyinyi huwa mnashangilia lakini muislam hakiua watu wawili woote mnavimba kwa hasira.