Maandamano makubwa dhidi ya ugaidi jijini paris

Maandamano makubwa dhidi ya ugaidi jijini paris

Status
Not open for further replies.
Nimesikia na viongozi wa kiafrika walikuwepo wanafiki wakubwa pamoja na kwamba siungi mkono ugaidi lakini bado najiuliza ugaidi ni nini kwani wakati wa michuano ya kombela mataifa yaliyofanyika Angola wachezaji wa togo walishambuliwa na baadhi yao kufariki na waasi wa angola,waasi hao makao makuu yao ni ufaransa na walikiri kuhusika ingawa wanasema wachezaji wa Togo hawakuwa walengwa cha ajabu sikusikia shinikizo lolote la kuwataka watu hao wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria lakini kwa kuwa leo waliofanyiwa hivyo ni wazungu wanataka watuaminishe kuwa hilo ni tukio la kidunia waafrika inabidi tujitambue mambo ya ufaransa ni ya kwao hayatuhusu
 
Naam, vijana wawili wamesababisha hayo, lazima mjiulize mara kumi kumi, kwanini?
FaizaFoxy, jibu lako lipo hapa...bahati mbaya siwezi kuitafsiri kwa Kiswahili lakini anayetoa maelezo ni muumini kama wewe na mwanazuoni.
Tamim Ansari said:
A reporter asked me to comment on the Paris bombing yesterday because she thought I could provide some "insight" on the Islamic view of blasphemy.

Let me be clear: At some point, earnest attempts at "explanation" shade into justification and I will not be drawn into it. As I told the reporter, no blasphemy could be more heinous than the crime these bombers committed, no matter what the magazine published or whom it offended.

Those who claim to be punishing blasphemy with violence are confusing themselves with God--than which there could be no more egregious blasphemy. Whoever committed the Paris bombing did more to insult the Prophet and soil his legacy than a thousand Danish cartoonists working nonstop for a thousand years.

Muslims need to stand up as one to say, "Not in our name" and to tell these Paris bombers and others of their ilk-the extremists who massacred schoolchildren in Pakistan, the Boco Haramists who kidnapped the girls in Nigeria, the radicals of ISIL who make a spectacle out of beheadings: you are not Muslims; you are the enemies of Islam, intent on adding to the misery of Muslims everywhere."
 
Ndo na wewe uchore sasa uone
Unafuatilia yanayofanyika huko Ulaya? Kwa mara ya kwanza hata wale waliokuwa upande wao wakiwaunga mkono wameamua kuwa kuanzia sasa milango imefunguliwa na michoro na cartoon kama kawa. Kama hoja ilikuwa ni kuwanyamazisha waandishi na wachora katuni basi sasa ndio moto umechochewa, kama keba ni keba...mwinda na mwindaji sasa watakula sahani moja. Waislaam wa kweli wameyalaani matendo hayo ya washenzi wachache kuichafua dini yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom