Maandamano makubwa dhidi ya ugaidi jijini paris

Maandamano makubwa dhidi ya ugaidi jijini paris

Status
Not open for further replies.

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Maandamano makubwa yanaendelea hivi sasa jijini Paris yakihusu umoja wa kijamii dhidi ya ugaidi.

Viongozi mbalimbali wa kimataifa(zaidi ya mataifa 40) wamehudhuria akiwemo Angel Merkel,David cameron,Benjamin Netanyahu na Mahmood Abass.

Kuna mkusanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea pengine toka uhuru wa ufaransa.

Jamii ya ndani na nje ya Paris imesimama kuupinga ugaidi na pia imeonyesha ni jinsi gani magaidi hawawezi kutishia misingi ya ubinadamu.

#JESUISCHARLIE
 
Nimeona watu wanaendelea kumiminika
 
Tatizo la hawa jamaa ni vichwa nunda labda ile katiba yao wanayoitumia ipigwe ban au ifanyiwe reformation ndio ugaidi utaisha
 
Kwa kweli Dunia inatakiwa kushikamana ili kuwatokomeza Magaidi pamoja na Kizazi chao.Dunia inatakiwa iwe sehemu salama kwa Wastaarabu kuishi.
 
Upo sahihi lakini kama tunataka wastaarabu tu ndio waishi duniani maana yake ni kwamba
a. Magaidi watokomezwe
b. Mafisadi watokomezwe
c. Wapenzi wa jinsia moja watokomezwe maana sio ustaarabu huu n.k
utakuta hata hao walioandama sio wastaarabu
 
Kama intention ya kina Kouach brothers na Amedy ilikuwa ni kutishia jamii basi wamegonga mwamba kwani viongozi wa mataifa wamejiunga kwenye maandamano in a very informal fashion.

estimated number ya waandamanji ni karibu au zaidi ya milioni moja.
 
Yaaah, nadhani kunamaadhimio Makali yataibuka dhidi ya Magaidi na Mataifa yanayofadhiri na Kuhifadhi/Kufundisha Magaidi!!

Tusibiri soon...

BACK TANGANYIKA
 
Kiukweli inabidi na Afrika siku moja tuandamane kupinga upuuuzi wa hawa Wauaji wa binadamu wenzao nje ya uwanja wa vita
 
Viongozi wameshika mikono wakitembea, kwa pamoja black suit ndo rangi
 
Namwona Netanyahu kwa mbele.
Kiongozi kwenda pale kutembea mtaani ni challenge kwa usalama ila wanajua kuwa wauaji hawata fanya kitu kwani ni aibu
 
Namwona Netanyahu kwa mbele.
Kiongozi kwenda pale kutembea mtaani ni challenge kwa usalama ila wanajua kuwa wauaji hawata fanya kitu kwani ni aibu

Inawezekana Obama hajahudhuria kutokana na idadi ya walinzi anaohitaji.
 
Kiukweli inabidi na Afrika siku moja tuandamane kupinga upuuuzi wa hawa Wauaji wa binadamu wenzao nje ya uwanja wa vita

Subiriii tulipuliwe Ndio itatuingilia akiliniii Hawa Watu ni shidaa kaa nao mbali mie nawaogopa kama ukoma
 
Kama intention ya kina Kouach brothers na Amedy ilikuwa ni kutishia jamii basi wamegonga mwamba kwani viongozi wa mataifa wamejiunga kwenye maandamano in a very informal fashion.

estimated number ya waandamanji ni karibu au zaidi ya milioni moja.

Yaani nimefurahia Sana na katuni zinaendeleaa kama Kawa
 
Mungu awarehemu 247 plus victims wa NRB na DAR bombings. Are they kids of a lesser god?
 
Namwona Netanyahu kwa mbele.
Kiongozi kwenda pale kutembea mtaani ni challenge kwa usalama ila wanajua kuwa wauaji hawata fanya kitu kwani ni aibu

Hawa jamaa hawana aibu isikute wanamvizia,mimi nasema bila kufanya marekebisho kwenye terrorist manual itakuwa kazi bure hata haya maandamano hayatasaidia kitu.
 
Dini ya ajabu sana,kwamba chochote alichokisema mtume hakitakiwi kuhojiwa,kunywa mikojo hata kama sio nzuri kiafya hutakiwi kuhoji maana utauwawa.

Kuoa watoto wa miaka 6 hutakiwi kuhoji,jua kuzama kwenye tope hutakiwi kuhoji.

Uislam dini ya ajabu sana,huyo allah na mtume sijui akili yao ikoje,nadhani vichwa vyao ni vitupu.

Uislam unahimiza kuhoji na mijadala kuliko dini yoyote ile, jisomee:

Qur'an 16:125. Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka.

Naam, mkija kwa kujadiliana kwa hikima na nama iliyobora, mtatukuta sisi ndiyo wa kwanza kuwapokea, tunaamrishwa hivyo.

Lakini mje na matusi na kututukania na kutufanyia stihizai mitume yetu na Uislam wetu? amma hapo kwa hakika hatuna kizuizi. Tukikujuwa hatukuwachi ili kuukomesha huo ufisadi.

Kuchora katuni za kuikashifu dini yetu na Mtume wetu kipenzi chetu, wewe ndiyo unasema kuhoji? fikiri.
 
Qurani inasema "makafiri ni ndugu" ndiyo hiki kinachotokea, waparestina wanauliwa bila hatia wananyanganywa makazi yao ila dunia hipo kimya.

Hutapenda ukweli huu lakini hiyo ardhi ni ya wayahudi.waingereza katika ukoloni wao ndio walibuni taifa la palestina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom