Maandamano London: Another new episode

hivi kwa uzi huu mleta mada CYBER CRIME UKITIWA NGUVUNI UTAMLAUMU MTU KWELI USIDANGANYIKE NA KYBOD KUWA ET HAUTAMBULIKI
cc
yereco nyerere
 
Its not the first time kwa hawa wapenda waarabu kujifanya wanauchungu na Zanzibar bytheway impact ya hayo makobeano ni kama susumizi kwenye msafara wa TEMBO. HAPA KAzi TU
 

Hiyo statement iliandikwa kwa bold ni upuuzi mtupu. vipi kuhusu sirya na palestine wao Mungu hatowailiza ? kama yes basi jua ata huyo Seif wako atauliza ukiwamo na wewe na lichama lako la kibaguzi shwaan.
 
Ndo maana wakaitwa wapumbavu.!! Leo hii walio na upele hawawashwi walioona upele ndo kiherehere!! Kilichowakimbiza. Zanzibar kipi? Leo hii mnajifanya mna uchungu na Znzbr zaidi mnajitukanisha tu na kuonekana mbururaa nchi yenu mnaenda kuomba kwa bwana zenu wawasaidie.. Aibu hats sijui mnawezaje kaa na wake zenu na wanenu. Nadhani wengi wenu huenda sio...............!!!!
 

Hiyo statement iliandikwa kwa bold ni upuuzi mtupu. vipi kuhusu sirya na palestine wao Mungu hatowauliza ? kama jibu ni Yes, basi jua ata huyo Seif wako ataulizwa ukiwamo na wewe na lichama lako la kibaguzi shwaan.
 
Bold sijakuelewa unataka waandamane kupinga mashekhe kunyanyaswa au mnataka matokeo ya uchaguzi yatangazwe?
 
Ndiyo sababu nataka kuzamia Ulaya. Watu mnapewa haki ya kuandamana na mnalindwa. Huku uchaguzi umefanyika,mshindi amejulikana lakini eti uchaguzi urudiwe.
 
Mwingereza hana muda wa kukamata watu,akishakupa status ya kuishi hayo mambo mengine hana muda nayo-usiwatishe watu
Sijatisha mtu na wala sina uwezo wa kutisha mtu katika maisha yake.

Mjumbe hauwawi!

They can do it at their peril!
 
Haitasaidia Tanzania ni nchi guru,wazungu hawawezi kutuamulia yetu,
 
Waingereza tunawajua tangu walipoleta miswada ya ushoga tukakata na wakafuta uzamini wao wa bodi ya mikopo,tunajua ufadhiri wao kwa chama furani,
Wanapoteza muda,
 
Policeceem waangalie kesho police Uk walivyo na ustaarabu wanavyo tambua sheria
 
Hiyo statement iliandikwa kwa bold ni upuuzi mtupu. vipi kuhusu sirya na palestine wao Mungu hatowailiza ? kama yes basi jua ata huyo Seif wako atauliza ukiwamo na wewe na lichama lako la kibaguzi shwaan.

so you kill the messenger?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…