ndani wapi anty?mimi siwezi kushindana na wewe kilaza kwa hoja bana,,,nafahamu namna ya kujenga hoja but kwakua we kilaza siwezi thubutu kupoteza nguvu na akili zangu ....any way ukimwaga ugali namwaga mboga
kwa taarifa tu i hate you magamba coz uar green snake in a green grass!
Nashindwa kuamini ka nyie pia na watanzania,,eti unajua kujenga hoja,,,ujue kujenga hoja wakati hujui nafasi ya huyo prince wenu kwa serikali ya uk,hujui ata ashawishi na nguvu yake!!!we usidhani kila mtu hajui ka ambavyo wewe hujui naomba mda nikuandalie histori,nguvu na nafasi ya ufalme kwa serikali ya uk nikioanisha na dhehebu la ANGLIKAN linaloongozwa na familia hiyo....mie si kilaza bana!
Kikubwa kinachoweza nifanya kuprovoke ni kuhate ccm men especially vijana ka wewe kwa kutotutakia mema vijana wenzenu,,any way nahisi kutapika change your mind and fight for your son"s tomorrow.those who are smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dember"
nawakilisha ata ukikereka.