Maandamano kupinga ujio wa Prince Charles

Godwine Ndugu yangu unamuandamania nani? Unachoshawishi hapa kifanyike ni sawa na kuwaambia wananchi waandamane kwenda polis kushinikiza kuachiliwa kwa mtuhumiwa au mfungwa ambaye yuko rumande baada ya uamuzi wa mahakama.

Prince Charles ni mwakilishi wa Royal Family, hana mamlaka ya kisera. Hatoi msaada wala hawezi kuzuia msaada kutolewa na Serikali yake. nguvu yake kiushawishi ni ndogo kuliko hata ya Ridhiwan Kikwete.

Mkiandamana wenyewe watawashangaa kweli na kujua upeo wenu wa akili na kuwadharau. Maandamano hayatamtikisa maana atajua tu mmekosea njia au hamkutaarifiwa vyema kuwa anayekuja ni Prince Charles na si Waziri Mkuu wa Uingereza ambaye ndio angestahili mabango hayo. Isitoshe, kwa dola na demokrasia komavu kama Uingereza, wamekwishaona sana maandamano duniani ya kila aina. Wala maandamano hayawatikisi maana ndio sifa ya ubabe lazima upingwe. Wao muhimu kwao ni Kama maandamano hayo hayatawadhuru tu. Mindhali hampigi mawe, tengenezeni tu mabango hata mkitaka ya digital muandamane hadi mridhike.

the issue here is to send messge to the world.hata kama prince charles hahusiki ila the world will pay attention to our message.
 
Tamko la Membe lingekuwa na nguvu kama serikali ya Tz ingezuia ziara ya mtoto wa Malkia hapa nchini.Kama tukiwa wakweli nchi yetu haiko makini na matamko yake na kutekeleza kwa vitendo yale yanayotamkwa.Ningekuwa mimi wala nisingekubali huyu mtoto wa wakoloni kukanyaga nchi hii.
 
Godwine Ndugu yangu unamuandamania nani? Unachoshawishi hapa kifanyike ni sawa na kuwaambia wananchi waandamane kwenda polis kushinikiza kuachiliwa kwa mtuhumiwa au mfungwa ambaye yuko rumande baada ya uamuzi wa mahakama.

Prince Charles ni mwakilishi wa Royal Family, hana mamlaka ya kisera. Hatoi msaada wala hawezi kuzuia msaada kutolewa na Serikali yake. nguvu yake kiushawishi ni ndogo kuliko hata ya Ridhiwan Kikwete.

Mkiandamana wenyewe watawashangaa kweli na kujua upeo wenu wa akili na kuwadharau. Maandamano hayatamtikisa maana atajua tu mmekosea njia au hamkutaarifiwa vyema kuwa anayekuja ni Prince Charles na si Waziri Mkuu wa Uingereza ambaye ndio angestahili mabango hayo. Isitoshe, kwa dola na demokrasia komavu kama Uingereza, wamekwishaona sana maandamano duniani ya kila aina. Wala maandamano hayawatikisi maana ndio sifa ya ubabe lazima upingwe. Wao muhimu kwao ni Kama maandamano hayo hayatawadhuru tu. Mindhali hampigi mawe, tengenezeni tu mabango hata mkitaka ya digital muandamane hadi mridhike.
Lakini uyo naye si mu UK
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom