Maandamano kupinga ujio wa Prince Charles

Maandamano kupinga ujio wa Prince Charles

Andamaneni kumtoa msanii pale magogoni na serikali yake a kisanii CCM,mana ajira hakuna,dola ipo juu,dhamani ya hela ya Tz imeshuka,maisha magumu,bei ya vitu ipo juu,kweli sijawahi kuona serikali ya kisanii hivi
 
Kama unataka fanya pale ulipo, anza na katibu kata, Tarafa, mkuu wa wilaya
muhasibu, mkurugenzi n.k Unafikiri huo usanii ni wake peke yake we hujui kama
wengine wanatumika kumhujumu. Tukitandika bakora kuanzia mitaani hujuma
zitakwisha!
Kwanini hawachukulii hatua kali? Yeye ndie kinara wa usanii wengine wanamuiga tu. Kama sio hivyo mbona alitangaza hadharani kwamba anayomajina ya wauza unga(madawaya kulevya) je aliwachukulia hatua gani? Wacha kumtetea!
 
Watu mmekosa kazi badala ya kuandamana mishahara haijatoka na kupinga malipo ya Dowans umeme hakuna unaogusa maisha ya watu wengi unaandamana kupinga ushoga ambao sidhani hata wanafika 0.0001% ya watanzania. Kama serikali ilitaka kuonyesha imeudhika isingempa visa huyo anti Charles.
 
ungeongelea maandamano dhidi ya Dowans ningekuona una akili ila hili la ushoga sioni mantiki yake ikiwa tayari ubalozi wao ume-retract from their PM statement! na isitoshe kama wanakupa misaada then una haki ya kuikataa maana it is obvious misaada huja na masharti! nyie wapeni popularity isiyo na mana wana Magamba walipaswa kupunguza dependence kwa hao Mashoga kwanza!
 
Hata mbuzi akipigiwa guitar kwa sauti kubwa lazima aone cha mtema kuni!
 
Hapa ndipo wabongo tunapokosea, kujaribu kutatua matatizo yetu; wakati usio sahihi, mahali pasipo sahihi na kwa njia zisizo sahihi! Kwa nini tusiandamane kuitaka serikali yetu kuacha mara moja kupokea misaada toka Uingereza na mataifa yote yaliyohalalisha ushoga na usagaji?! Namna nzuri ya kuwashinda waingereza ktk issue hii ni kukataa kabisa misaada yao yote.
Vipi lakini tishio la al shabaab ambao nao tunafumbia macho hela yao ya kigaidi inavyojenga majumba kariakoo na maeneo mengine ya dar limeisha???
 
Revolution is NOT an Apple that Falls when it is Ripe....YOU HAVE TO MAKE IT FALL!!!!!!!
 
Godwine Ndugu yangu unamuandamania nani? Unachoshawishi hapa kifanyike ni sawa na kuwaambia wananchi waandamane kwenda polis kushinikiza kuachiliwa kwa mtuhumiwa au mfungwa ambaye yuko rumande baada ya uamuzi wa mahakama.

Prince Charles ni mwakilishi wa Royal Family, hana mamlaka ya kisera. Hatoi msaada wala hawezi kuzuia msaada kutolewa na Serikali yake. nguvu yake kiushawishi ni ndogo kuliko hata ya Ridhiwan Kikwete.

Mkiandamana wenyewe watawashangaa kweli na kujua upeo wenu wa akili na kuwadharau. Maandamano hayatamtikisa maana atajua tu mmekosea njia au hamkutaarifiwa vyema kuwa anayekuja ni Prince Charles na si Waziri Mkuu wa Uingereza ambaye ndio angestahili mabango hayo. Isitoshe, kwa dola na demokrasia komavu kama Uingereza, wamekwishaona sana maandamano duniani ya kila aina. Wala maandamano hayawatikisi maana ndio sifa ya ubabe lazima upingwe. Wao muhimu kwao ni Kama maandamano hayo hayatawadhuru tu. Mindhali hampigi mawe, tengenezeni tu mabango hata mkitaka ya digital muandamane hadi mridhike.

Wewe unatoa ushauri kwa watu ambao walichokizoea ni kusugua visigino ka mambo ambayo hayana tija. Kwa mkiandamana ndo mtambadilisha Cameron? Tayari serikali yetu imetoa msimamo ambao hata balozi wao ameuelewa na hata kufyata mkia. Huyu mwana wa Malkia kosa lake nini? Kwa nini hamkuandamana kwenda ubalozi toka tamko lilipotolewa? Unafiki mtupu!
 
Tunapiga kerere bule wakati prince keshaandaliwa na Shoga wa kumfariji hotel
 
wakuu jana kulikuwa na mahojiano badala ya kupewa kibali au kunyimwa nikapigwa mkwara mzito kupitia simu kwani kibali niliomba kwa njia ya fax, ilikuwa takribani masaa 2 ya mahojiano na polisi huku wakisema kama tatizo zikitokea kwa mgeni wao bwanyenye toka uingereza basi wanaharakati tungejuta

Baada ya kuona ngoma nzito ilibidi wanaharakati tukusanye nguvu kwa wingi kupitia taasisi mbali mabali wakiwemo viongozi wa dini (mashehe,wachungaji na maaskofu) wengi wakasema maandamano ya nguvu yawekwe tarehe 9 na wao watakuwa mstari wa mbele kabisa ili kuepusha madhara kutokana na nguvu yao na ushawishi katika jamii

Kwa hiyo nahitaji mawazo yeni wanaharakati jamvini,,,,,,nawasilisha
 
heads yesterday there was an interview rather than be approved or denied, I received mkwara heavy via telephone for a permit was requested by fax, was approximately 2 hours of interviews with police as they say if the problem taking place for the visitor they bourgeoisie from England, then the activists would regret after seeing the dance burns had activists deliver power in bulk via institutional various including religious leaders (mashehe, wachungaji and bishops), many said the protests force yawekwe on 9 and they will be proactive at all to avoid the effects due to their power and influence in society therefore I need ua ideas activists submit
 
Godwine Ndugu yangu unamuandamania nani? Unachoshawishi hapa kifanyike ni sawa na kuwaambia wananchi waandamane kwenda polis kushinikiza kuachiliwa kwa mtuhumiwa au mfungwa ambaye yuko rumande baada ya uamuzi wa mahakama.

Prince Charles ni mwakilishi wa Royal Family, hana mamlaka ya kisera. Hatoi msaada wala hawezi kuzuia msaada kutolewa na Serikali yake. nguvu yake kiushawishi ni ndogo kuliko hata ya Ridhiwan Kikwete.

Mkiandamana wenyewe watawashangaa kweli na kujua upeo wenu wa akili na kuwadharau. Maandamano hayatamtikisa maana atajua tu mmekosea njia au hamkutaarifiwa vyema kuwa anayekuja ni Prince Charles na si Waziri Mkuu wa Uingereza ambaye ndio angestahili mabango hayo. Isitoshe, kwa dola na demokrasia komavu kama Uingereza, wamekwishaona sana maandamano duniani ya kila aina. Wala maandamano hayawatikisi maana ndio sifa ya ubabe lazima upingwe. Wao muhimu kwao ni Kama maandamano hayo hayatawadhuru tu. Mindhali hampigi mawe, tengenezeni tu mabango hata mkitaka ya digital muandamane hadi mridhike.

Nashukuru kwa kuiweka sawa issue hii! Japo sina uhakika na nguvu za 1st SON (zamani nilijua ni JESUS PEKEEE; samahani ndg zangu Waislaam) nina uhakika wa ROYAL FAMILY kutokuwa na nguvu juu ya sera wala utendaji wa siku kwa siku wa serikali yao...

Kumshambulia Charles na mkewe ni kuonesha jinsi ambavyo tunatumia NAZI badala ya VICHWA VYENYE UBONGOSAHIHI KATIKA KUWAZA NA KUAAMUA
 
Back
Top Bottom