Maandamano yamefeli.Safari hii Mtanyooka tu!!
Watanyooshwa mashogaSafari hii Mtanyooka tu!!
Endeleeni tu kulishwa Matango Pori kiukweli kipigo kwa Ayatollah kimekaribia sana!!
Nipo hapa napitia makala za DW zinasema kuna pro-government protests.Endeleeni tu kulishwa Matango Pori kiukweli kipigo kwa Ayatollah kimekaribia sana!!
Maandamano yamefeli.mashoga wameshawajuwa nini cha kuwafanya wamekaa kimya hawajui wafanye nini
Endelea tu kujifariji lakini kipondo kiko palepale!!Nipo hapa napitia makala za DW zinasema kuna pro-government protests.
Nenda google kaandike utapata majibu.
Anti-government protest zimefeli.
Ndio maana Trump amebadili upepo akisema jeshi linapiga tathmini zaidi juu ya kuishambulia Iran.
Endelea tu kujifariji lakini kipondo kiko palepale!!Nipo hapa napitia makala za DW zinasema kuna pro-government protests.
Nenda google kaandike utapata majibu.
Anti-government protest zimefeli.
Ndio maana Trump amebadili upepo akisema jeshi linapiga tathmini zaidi juu ya kuishambulia Iran.
Wewe nishakuzoea kupitia Kosugi.Endelea tu kujifariji lakini kipondo kiko palepale!!
Wewe ndio uendelee kujifariji.Endelea kujifariji tu!!!
Mkuu it seems you have a little knowledge on how this world runs! Pale Congo unafikiri hakujabadilika kitu? though chama ni kile kile rais ni yule yule dereva tax Tshisekedi. Nikuulize Why? M23 bado anakaza kuwithdraw fully pale congo? Everything is CAPITALISM and so on..Hakuna Pesa Inayoenda bure kwenye investments za wakubwa.Nini kimebadilika? Chama kile kile, sera zile zile!! Serikali ile ile.
Ndio Huu ujinga wenu wa Israel kudhani kiongozi wa Hamas akifa basi automatically hamas imekufa bila kujua ile ni itikadi sio mtu.
We unaongea huku t.zi yako iko wazi,Iran hapigwi,wananchi bado wanaikubali serikali yao,mimi siumii chochote.Kwa taarifa yako wewe ndiye shoga na Iran usiku wa leo lazima wapigwe leo watashambuliwe.
Wananchi wa Iran hawaitaki Serikali ya Ayatollah wewe sijui unaumia nini??
Naona unapiga vigelegele ka bi kidude kuona kenga walionunuliwa na Wazayuni wakifanya fujo.Pamoja na serikali kuzima Internet na Umeme wananchi wa Iran hawapoi
View: https://x.com/VividProwess/status/2010098065429197159?t=wbK311-QSO_gW2j3k-ZM6w&s=19