Maandamano Iran katika picha!!

Ekulima sijui ana hali gani mda huu? 🤣🤣🤣
 
Ndugu zangu, salamu kwenu nyote mnaosimama kama Kaveh na kupigana na uovu wa Ayatollah

Utawala huu, pamoja na ukandamizaji wake mkali, mauaji, na kukatizwa kwa watu, unatafuta kuwatia hofu na hofu, na kuwakatisha tamaa kuendelea na kupigana. Lakini jueni kwamba kwa sababu ya msimamo wenu na mapigano, maelfu ya vikosi vya kijeshi na vya kutekeleza sheria hawajaenda kazini kuchukua jukumu katika ukandamizaji.

Na ujumbe maalum kwa wataalamu katika uwanja wa intaneti na mawasiliano: lenga miundombinu ya habari ya mfumo ili kurejesha mawasiliano ya wenzetu na ulimwengu - Mrithi wa Taji Reza Pahlavi
 

Attachments

  • VID_20260113_100241_801.mp4
    3.3 MB
Huyu hawezi kuwa kiongozi wa Iran hata kama Ayatollah akiondoka. Ni sawa na useme alternative ya kumtoa Mwinyi zanzibar ni kwa kumrudisha mtoto wa Sultan Jamshid!! Sijui akili za wayahudi zina shida gani
 
Huyu hawezi kuwa kiongozi wa Iran hata kama Ayatollah akiondoka. Ni sawa na useme alternative ya kumtoa Mwinyi zanzibar ni kwa kumrudisha mtoto wa Sultan Jamshid!! Sijui akili za wayahudi zina shida gani
Hapo wayahudi wameimgiaje au ndiyo mmeanza kuchanganyikiwa!!
 

Mashoga waliokimbilia west wanahara mavi surualini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…