Maandamano Iran katika picha!!

Maandamano Iran katika picha!!

Tehran Usiku wa Leo: Alama Zinaanguka

Waandamanaji katikati mwa Tehran wanachoma bango la ukumbusho lilokuwa likimtukuza Qasem Soleimani na viongozi wengine wakuu wa IRGC. Utawalai wenye nguvu unaoendelea kumomonyoka katikati ya mji mkuu wa Iran.

Samaki anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!!
 

Attachments

  • VID_20260109_074555_106.mp4
    553.7 KB
  • VID_20260109_074505_470.mp4
    1.3 MB
Mnarusha hizi taarifa ili iweje ?
1000098176.jpg
 
Waandamanaji wamechukua crane na kwenda kung'oa nembo ya utawala wa kiislamu wa Iran na kutokomea nayo kusikojulikana

Utawala huu sasa unamomonyoka hatua kwa hatua kabla hata Israel haijawashambulia!!!
 

Attachments

  • 1767936560141.mp4
    824.4 KB
Waandamanaji huko Iran wamevamia kituo kikuu cha polisi huko Tehran na wamefanikiwa kuingia ndani na kuchukua silaha zote!!

Hapo ndipo patamu Ayatollah ndiyo muda wake kukimbilia Russia
 

Attachments

  • 1767936608715.mp4
    1,011.1 KB
Akiingia ndio kaharibu, nchi itaungana kupigana na common enemy. If anything Iran haiwezi kubali kuwa kibaraka wa USA.
I'm sure both Israel and America are keeping an eye on Iran.

The question is whether they are planning to get involved, or if they will stay behind the scenes for now and let the great uprising of the Iranians unfold.

We will see soon enough.
 
Akiingia ndio kaharibu, nchi itaungana kupigana na common enemy. If anything Iran haiwezi kubali kuwa kibaraka wa USA.
sasa iran ipi iyo haiwez kukubali kuwa kibaraka, kwa lipi walilonalo, utawala wa ki.senge ndo huo unaondoshwa, kama alivyowekwa ayatola na mabeberu leo walomuweka wanamtoa na wanaweka mtu mwngne naye akileta za kuleta wanapga nje.. Usjsahaulishe ayatola aliwekwa na mabeberu tn alikuwa anaish ufaransa.
 
sasa iran ipi iyo haiwez kukubali kuwa kibaraka, kwa lipi walilonalo, utawala wa ki.senge ndo huo unaondoshwa, kama alivyowekwa ayatola na mabeberu leo walomuweka wanamtoa na wanaweka mtu mwngne naye akileta za kuleta wanapga nje.. Usjsahaulishe ayatola aliwekwa na mabeberu tn alikuwa anaish ufaransa.
My point is, wananchi wa Iran wanaichukia Israel na USA whether or not Ayatollah ndio kiongozi mkuu!! Hivyo kiongozi yeyote anayekuja awe kibaraka au whatever ataonyesha to true colors zake kwa USA.

Pia Ayatollah hakua kibaraka, ni kwamba USA ilitumia fursa kwa kumtumia adui wa utawala wa Iran kuudondosha. Ni sawa na USA kuitumia Taleban kupambana na USSR haikuwafanya kuwa vibaraka bali walitumika kama fursa ili kupambana na USSR. Mifano ni mingi tu
 
hapo ingekuwa tanzagiza psychopaths janjaweed wa tanzagiza wangewamiminia hata nuclear bomb, naamini kabisa kwamba tanzagiza tunatawaliwa malow iq psychopaths ambao hawawezi kufikiria kesho itakuwaje once they lose power, unawezaje kumimina mirisasi kiasi kile kwa defenseless people? ...
 
Back
Top Bottom