Maandamano chadema hivi sasa yapo kahama

Hivi saa 3:21 ndo wamemaliza mkutano watu ni wengi mno wanatoka viwanja vya mpira kahama. Huo ndio mwisho wa ripoti kutoka hapa kahama kama kuna mtu yupo ushirombo naomba nae atujuze. Ila ningependa baada ya hapo tujadiliane mambo ya msingi aliyotuachia watu wa kahama.
 
Safi kabisa, uko sawa. Sasa tunaomba kwa muhitasari sana utupe yaliyojiri kwenye hotuba ya Kamanda mkuu.

makamanda kwakweli wametumia nafasi yao kukata kiu ya wanachama wake.moja ya pointi ya mzee mbowe ni kuhusu uchakavu wa mji wa kahama na tatizo la umeme alitoa mfano tarime wakazi wahuko wamefanikiwa kidogo kunufaika na dhahabu zao akaongeza kwanini na kahama mnashindwa kunufaika na migodi inayo izunguka kahama?
 
safi sana, ongezen bidii chadema, hawa mafisadi kipindi hiki watakimbia nchi muda c mrefu, mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom