Maandamano Bila kikomo - Oktoba Tunatoka
Meta point. I don't expect everybody to understand.

Ukitaka maandamano, ukisema huutambui uchaguzi, halafu maandamano yako ukawa unasubiri siku ya uchaguzi, hiyo ni contradiction.

Kusubiri siku ya uchaguzi ili uandamane ni aina fulani ya kuutambua uchaguzi.

Kama huutambui uchaguzi wewe andamana tu, usingoje siku ya uchaguzi ambao huutambui ili uandamane.

Andamana tu Oktoba yote usingoje siku ya uchaguzi.
Asante kwa jibu lako japo nashauri haya mambo yanaweza kuwa nje ya uwezo wako wa kufikiri,,, naomba uwe na uhakika dikteta na wapenzi wake watashughulikiwa,,, #Oktoba29Tunatoka.
20251028_101615.jpg
 
Meta point. I don't expect everybody to understand.

Ukitaka maandamano, ukisema huutambui uchaguzi, halafu maandamano yako ukawa unasubiri siku ya uchaguzi, hiyo ni contradiction.

Kusubiri siku ya uchaguzi ili uandamane ni aina fulani ya kuutambua uchaguzi.

Kama huutambui uchaguzi wewe andamana tu, usingoje siku ya uchaguzi ambao huutambui ili uandamane.

Andamana tu Oktoba yote usingoje siku ya uchaguzi.
Thanks for your reply, although I suggest that these matters may be beyond your thinking capacity,,, please rest assured the dictator and her boyfriends will be delt with,,, #Oktoba29Tunatoka
 
20251028_115923.jpg

‼️🚨DAR ES SALAAM HAKUNA MAJI‼️
Hii nchi imemshinda Mama yao ila bado anang’ang’ania tu!
Aibu tupu!
Alafu machawa eti mitano tena
Takataka ninyi!
We need People centered government!
#Oktoba29Tunatoka

20251028_115919.jpg
#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 📌
 
Asante kwa jibu lako japo nashauri haya mambo yanaweza kuwa nje ya uwezo wako wa kufikiri,,, naomba uwe na uhakika dikteta na wapenzi wake watashughulikiwa,,, #Oktoba29Tunatoka.View attachment 3495127
Nilijua kuna watu hawataelewa.

Ndiyo maana nilianza kwa kuandika hivi.

"Meta point. I don't expect everybody to understand."
 
Thanks for your reply, although I suggest that these matters may be beyond your thinking capacity,,, please rest assured the dictator and her boyfriends will be delt with,,, #Oktoba29Tunatoka
Actually I expected some people to not understand my point.

This is why I started by writing this.

"Meta point. I don't expect everybody to understand."
 
MATUMIZI YA ZELLO
Zello ni kama radio call na unachagua unawasiliana na kikundi gani
👉🏽Mfano unaweza kuunda Channel na wenzako wa eneo moja na kuwasiliana bila kuonekana kupigiana simu na kupata mawasiliano muda wote
👉🏽 Pia kuunda channel ya wote ambapo unatoa taarifa wakati wa dharura kutoa maelezo kinachoendelea kwa ground na kuhabarisha jamii kuhusu huduma muhimu au hatari
Kwa hiyo PAKUA na fungua akaunti!

NAMNA YA KUTUMIA NA KUANZISHA CHANNEL YA MAWASILIANO
Kwenye app ya simu ya ZELLO
👉🏽Nenda kwenye CHANNELS.
👉🏽Gusa aikoni ya kuongeza (+) au chaguo la "Ongeza Kituo" imeandikwa “Add Channel"
👉🏽Chagua "Unda Kituo Kipya" imeandikwa “Create New Channel"
👉🏽Ingiza jina la CHANNEL yako

❗️Kama unataka ipatikane kwa kila mtu:
Hakikisha aina ya CHANNEL imewekwa kuwa "Anyone can talk” au ukazuia ibaki kuwa kwa moderators

❗️Kama hutaki iwe ya wote weka PASSWORD

Gusa "Unda" yaani “Create” na ufuate maelekezo yoyote zaidi ili kuongeza profile au maelezo.
Pia unaweza kuweka options za ziada

20251028_125619.jpg
20251028_125624.jpg
20251028_125630.jpg
20251028_125634.jpg
 
#Samia_Suluhu's underdog in Cameroon 🇨🇲 🤣🤣🤣
20251028_143318.jpg

#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 📌
 
Wanangu wa #MO29 muda kama huu mitaa ya KARIAKOO.

Tutapota jiji zima hakuna mahali hatutapita.

#MO29
#SiriNiNamba
#OktobaTunatoka

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
20251028_105247.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom