kipindi hicho waisrael walikuwa wapi? jews ni kina nani?
wadau kuna maandamano kupinga kile kinachoendelea masharik ya kat.wapalestina wa hapa dar na jamaa zao wametanda barabaran wakielekea njia kama unaenda magomen ukitokea hapa ilala boma,maandamano haya n ya aman.nimesikia mtoto akiimba mashairi ya kuelezea jamii ya kipalestina ilivyo mashakan
na wabarikiwe kweli kwa maana hawajaanza leo kwani ndo walimpiga mungu na kumvalisha nepi sembuse wapalestina!
Walioleta Ukristu ni wazungu kwa madhumuni ya kutunyonya na manyanyaso na walioleta uisilamu ni waarabu kwa kutuuza kama watumwa na kutufunga minyororo miguuni kama ng'ombe. waafrika tumelogwa!Yaser arafat hapo.
Unajua makafiri wa Tanzania hawajitambui.
Wakati makafir wenzao dunian wanaungana kulilaani taifa lenye laana la israel wao eti wanalishangilia na kuliita taifa la mungu.
Ajabu mungu wao wakristo ni yesu.
Yesu israel hawamtambui tena wanamwita mtoto wa zinaa.
Ukristo pia hao israel hawautambui.
Sasa hawa wanapoliita hili ni taifa la mungu wana maanisha mungu gani??
Teh teh teh.
Allahu akbar.
Subhannaka Allahuma Inkutum minal dhwalimiin...
Makafiri hawa nawaonea huruma kwa kupotea njia.
Jewish ni WAYAHUDI ndiyo wananchi wa Israel. Israel ni jina ambalo YAKOBO alipewa baada ya kupambana na kumshinda Malaika hadi alipobarikiwa na kupewa jina Israel.
Hayo mauaji yalifanyika Israel wakati inatawaliwa na Warumi. Waliomuua siyo Waisrael bali ni askari wa Kirumi. Aliye saini hati ya kifo siyo Muisraeli bali ni Mrumi (Italiano) Pontio Pilato.
Yaser arafat hapo.
Unajua makafiri wa Tanzania hawajitambui.
Wakati makafir wenzao dunian wanaungana kulilaani taifa lenye laana la israel wao eti wanalishangilia na kuliita taifa la mungu.
Ajabu mungu wao wakristo ni yesu.
Yesu israel hawamtambui tena wanamwita mtoto wa zinaa.
Ukristo pia hao israel hawautambui.
Sasa hawa wanapoliita hili ni taifa la mungu wana maanisha mungu gani??
Teh teh teh.
Allahu akbar.
Subhannaka Allahuma Inkutum minal dhwalimiin...
Makafiri hawa nawaonea huruma kwa kupotea njia.
Wangekua na akili, wangeandamana kupinga Boko Haram kuteka wasichana, kupinga Al Shabab kufanya ugaidi kule Somalia na Kenya, Kupinga ISIS kufanya mauaji kule Iraq na Syria, kupinga Al Qaeda kufanya na kufadhili ugaidi duniani..... Mengine utaongezea!
Walioleta Ukristu ni wazungu kwa madhumuni ya kutunyonya na manyanyaso na walioleta uisilamu ni waarabu kwa kutuuza kama watumwa na kutufunga minyororo miguuni kama ng'ombe. waafrika tumelogwa!
Wapalestina wa hapa dar
Nafikiri vile vikofia na visuruali vifupi huwa vinadumaza akili kabisa!
Wadau kuna maandamano kupinga kile kinachoendelea masharik ya kat.Wapalestina wa hapa dar na jamaa zao wametanda barabaran wakielekea njia kama unaenda magomen ukitokea hapa ilala boma,maandamano haya n ya aman.Nimesikia mtoto akiimba mashairi ya kuelezea jamii ya kipalestina ilivyo mashakan
Inasikitisha sana kwa haya yanayotokea watu wasiokuwa na hatia wanakufa kiasi hicho. Israel na Hamas wote ni wa kulaumiwa sana. Israel kwa kutokuwa na huruma kwa binadamu wenzake na Hamas vilevile kutokuwa na huruma kwa kuwaweka binadamu kama walinzi wa silaha zake ili zisipigwe na Israel. UN wamesema vizuri kabisa kuwa japokuwa wamekuta rockets kwenye ile shule ya UN iliyopigwa na Israel (ambacho ni kinyume na sheria za kimataifa) vilevile haikuwa halali wala haihalalishi Israel kulenga mabomu sehemu ile kwani walikuwepo watu wasio na hatia. Kila upande, Israel na Hamas wanatakiwa wasemwe na watakiwe kujirekebisha.
mimi nawapinga israel kwa kumtandika kisawasawa mungu na kumtundika pale +
Huyajui maandiko, hujui inabii wala ujio wa Yesu Kristo, hujui hata wakati Yesu anasurubiwa Israel ilikuwa chini ya utawala gani na sheria zipi zilimhukumu kifo Yesu. Nyamaza!.
La kuongelea unaloweza kuchangia hata kama huna Mungu wala elimu, ni kwa ajili ya nini Hamasi waliwateka vijana watatu wa Israel na kuwaua? Kwa nini unaogopa kuuzungumzia ukweli na ambao ndiyo chanzo cha yanayoendelea kule gaza?
Mungu Mbariki, umuongeze na kumzidisha Israel!.
Mzungu kichupi.sanamu mwenyewe anawajua coz walimdunda sana mpaka jasho la m a t a k o lilikauka.big up israel